Life as a bachelor, shouldn't be this hard

Hahah sijui nijibu kizungu au kibongo...well itafahamika...

Nikiwa mdogo I really cherished marriage life..yaani nilikuwa nikiona wazazi wangu wanavyopendana natamani na mimi kuwa na familia. Tangu nakua hadi sasa sijawahi kumuona baba yangu akim-mistreat mama yangu. Tukiwa wadogo jumapili ilikuwa siku yao ya kwenda jikoni. They'd cook and chat and all we could hear from the sitting room (the only day we were allowed TV in the afternoon) were giggles from within the closed kitchen doors!

Things changed in college...love lost meaning and I envied the single life...so much I think I am corrupted now!!!! beyond repair...

What to eat?

Niliwahi kupost threads mbalimbali zikielezea tatizo hili!

Siku hizi nimegundua a better method...EAT REALLY WELL IN THE AFTERNOON/DURING THE DAY!

Mfano mzuri: kula asubuhi breakfast nzuri, kula matunda (huwa tunaletewa yale mchanganyiko), na kula lunch nzuri!

Ukirudi kwako (unless you have UEFA games to play *wink*) unaweza kunywa chai tu ukalala...get some healthy snacks ama brown bread (tengeneza sandwich), au mayai ya kukaanga, spahetti, and such stuff ambazo hazihitaji stress kuwaza kupika!

Order in the crib

Hahaha na hakuna kitu nachukia kama kupangiwa nguo na mtu! I guess bado sijaperfect this art ingawa I can camouflage it.
Ila hilo la ku-renew nguo chafu nahisi uko peke yako ..heheh!

Nimejitahidi during the weekend napasi nguo zote za kuvaa during the week so nina uhakika wa kutokosa nguo. Napenda kuvaa/na kununua jezi so inasaidia sana on the casual wear.

Ila kupanga nyumba dah! hapa nahisi itakuwa sababu ya kuwahi kuoa.

Loneliness

Ahahaha really funny on the miss handy thing...I am not a fan of her due to reasons I can't explain...never have I been! I just can't get myself to do it.

However fact still remains...the loneliness kills!

Just don't go buy em from out there...stay up late, watch a movie, write, read, play PES...haiondoi boredom ila inapunguza risky behaviour!

Kuna kipindi I used to do that, halafu at the middle of the night - tena ukiwa na mtu kitandani - you feel even lonelier than when you were alone! Nilishawahi kumrudisha mtu hostel kwao saa saba usiku just because I wanted to be alone (paradox of loneliness).

ALL IN ALL..really sucks being a bachelor at 30! But if you make good use of it...worthwhile!

BE SAFE...ENJOY!

oooh and yes, LADIES, WE NEED YOU!!!

All in a
 
kaka umenikumbusha mbali sana... binafsi kwangu nilikuwa na enjoy sana kuwa alone than kuwa na mtu....

mda mwingine nahisi ananinyima space.

Upweke ndio tatizo zaidi unafanya ujione unaishi dunia ya peke yako na kukufanya usione raha ya kila unachokifanya hata kama mshahara mzuri u ajiona umepungukiwa kitu
Chakufanya tafuta yule jembe wako ambaye unajua ukiwa naye unajisikia uko happy jenga mawasiliano ya karibu inasaidia mno
 
though you mention some of challenges and without a doubt, somehow you get bored when you are alone but man,,, i never think of gettin married, i like been alone enjoying it..

hahahah....nimejaribu kukitema KIZUNGU. teh teh!
 
Upweke ndio tatizo zaidi unafanya ujione unaishi dunia ya peke yako na kukufanya usione raha ya kila unachokifanya hata kama mshahara mzuri u ajiona umepungukiwa kitu
Chakufanya tafuta yule jembe wako ambaye unajua ukiwa naye unajisikia uko happy jenga mawasiliano ya karibu inasaidia mno
Na bora uwe Na upweke afu upo single, kuliko kuwa na mtu anayekufanya uwe mpweke zaidi

Huwa nacheka sometimes (me and my best friend) mmoja kati yetu akiwa lonely anytime anamtext mwenzake "ma naomba tuchat" nachekajeee ,basi ni mwendo wa vijistori tu . So far ni vizuri kuwa na hobbies mbalimbali, zitakuweka busy tu, na kama huna baby basi jiweke busy na rafiki zako au familia yako + Mungu, vinapunguza sana upweke
 
A brother very well spoken his mind. This sounds like a very honest confession. I genuinely salute you big brother!! Indeed bachelorhood isn't all that rosy, as we all fancied. However the challenge of getting the appropriate soulmate is equally immense.

Ladies out there, please come...a brother needs a serious rescue here. All the best brother as you critically sort out that dilemma....and so does all the other brothers sailing in a similar boat.
 
Na bora uwe Na upweke afu upo single, kuliko kuwa na mtu anayekufanya uwe mpweke zaidi

Huwa nacheka sometimes (me and my best friend) mmoja kati yetu akiwa lonely anytime anamtext mwenzake "ma naomba tuchat" huwa nacheka ,basi ni mwendo wa vijistori tu . So far ni vizuri kuwa na hobbies mbalimbali, zitakuweka busy tu, na kana huna baby basi jiweke busy na rafiki zako au familia yako + Mungu, vinapunguza sana upweke

aflewo.jpg
 
A brother very well spoken his mind. This sounds like a very honest confession. I genuinely salute you big brother!! Indeed bachelorhood isn't all that rosy, as we all fancied. However the challenge of getting the appropriate soulmate is equally immense.

Ladies out there, please come...a brother needs a serious rescue here. All the best brother as you critically sort out that dilemma....and so does all the other brothers sailing in a similar boat.
 
Hahah sijui nijibu kizungu au kibongo...well itafahamika...

Nikiwa mdogo I really cherished marriage life..yaani nilikuwa nikiona wazazi wangu wanavyopendana natamani na mimi kuwa na familia. Tangu nakua hadi sasa sijawahi kumuona baba yangu akim-mistreat mama yangu. Tukiwa wadogo jumapili ilikuwa siku yao ya kwenda jikoni. They'd cook and chat and all we could hear from the sitting room (the only day we were allowed TV in the afternoon) were giggles from within the closed kitchen doors!

Things changed in college...love lost meaning and I envied the single life...so much I think I am corrupted now!!!! beyond repair...

Niliwahi kupost threads mbalimbali zikielezea tatizo hili!

Siku hizi nimegundua a better method...EAT REALLY WELL IN THE AFTERNOON/DURING THE DAY!

Mfano mzuri: kula asubuhi breakfast nzuri, kula matunda (huwa tunaletewa yale mchanganyiko), na kula lunch nzuri!

Ukirudi kwako (unless you have UEFA games to play *wink*) unaweza kunywa chai tu ukalala...get some healthy snacks ama brown bread (tengeneza sandwich), au mayai ya kukaanga, spahetti, and such stuff ambazo hazihitaji stress kuwaza kupika!

Hahaha na hakuna kitu nachukia kama kupangiwa nguo na mtu! I guess bado sijaperfect this art ingawa I can camouflage it.
Ila hilo la ku-renew nguo chafu nahisi uko peke yako ..heheh!

Nimejitahidi during the weekend napasi nguo zote za kuvaa during the week so nina uhakika wa kutokosa nguo. Napenda kuvaa/na kununua jezi so inasaidia sana on the casual wear.

Ila kupanga nyumba dah! hapa nahisi itakuwa sababu ya kuwahi kuoa.

Ahahaha really funny on the miss handy thing...I am not a fan of her due to reasons I can't explain...never have I been! I just can't get myself to do it.

However fact still remains...the loneliness kills!

Just don't go buy em from out there...stay up late, watch a movie, write, read, play PES...haiondoi boredom ila inapunguza risky behaviour!

Kuna kipindi I used to do that, halafu at the middle of the night - tena ukiwa na mtu kitandani - you feel even lonelier than when you were alone! Nilishawahi kumrudisha mtu hostel kwao saa saba usiku just because I wanted to be alone (paradox of loneliness).

ALL IN ALL..really sucks being a bachelor at 30! But if you make good use of it...worthwhile!

BE SAFE...ENJOY!

oooh and yes, LADIES, WE NEED YOU!!!

All in a
I enjoyed the part ya ur parents... Jmn kuna watu mmekulia pazuri,..niliyoyaona while growing up,I pray that nightmare isijerudia kwangu..
 
Hahahahaaa catch ya....

Pale church kuna wadada warembo wale wa kwa ya ya t-shirt na jeans.....

No need to be lonely...

Send my regards to pastor Malonga

I never thought these to be places for Kasinde to visit...shocking in a nice way!

Duuh hii habari njema mbona nimeshaikosa jamani, anyway ntajiunganisha nayo tu.... Thanks much

Kama upo town make a point to be there...!!! I will be singing...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom