Life after divorce kwa wanawake

tsix

Member
Joined
Oct 17, 2015
Posts
86
Reaction score
61
Habari wana MMU..
Nahitaji kusikia kutoka kwa watu wenye experience kama maisha baada ya divorce kwa wanawake yakoje.
 
Unataka ku-join the majority? Nadhani si mazuri kwani mkiwa mlishapata watoto, watoto hukosa haki yao ya msingi.
 
Mkuu nakuombea hiyo divorce ikuepukeee kwa jina la baba uliyejuu.

Shetani ushindwe kusumbua ndoa ya huyu mwanamke.

Nakuamuru shetani ulegee.

Ndoa yako idum hata milele, kifo kiwatenganishe
 
Habari wana MMU..
Nahitaji kusikia kutoka kwa watu wenye experience kama maisha baada ya divorce kwa wanawake yakoje.

Nenda kakae karibu na kilabu au baa kisha uangalie
mwendo anaotembea mlevi aliye lewa njwiiii...
basi ujue ndivyo hao wanawake wanavyokuwaga
baada ya kupigwa chaga.
 
Mkuu nakuombea hiyo divorce ikuepukeee kwa jina la baba uliyejuu.

Shetani ushindwe kusumbua ndoa ya huyu mwanamke.

Nakuamuru shetani ulegee.

Ndoa yako idum hata milele, kifo kiwatenganishe

Ameeen
 
Ni mazuri, inategemea umejipangaje..
Km umeshindwa toka tu mapema kabla ya matatizo .. vipimo bado havijaanza kufanya kazi muhimbili..
So usisubir kusumbua ndg zako kwenda india ..
 
Kuwa serious madame.

And grow up a little.
 
Ni mazuri, inategemea umejipangaje..
Km umeshindwa toka tu mapema kabla ya matatizo .. vipimo bado havijaanza kufanya kazi muhimbili..
So usisubir kusumbua ndg zako kwenda india ..

Hahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…