Lieberman: Kiukweli tumewashindwa Hamas

Lieberman: Kiukweli tumewashindwa Hamas

Hivi huyo allah wenu mbona hawasaidii maana waarabu na waislamu ndo watu wanaoteswa na kuchinjwa kila siku,kwa mfano bush alichinja waarabu laki mbili,Sasa ina maana huyo allah subana wa tallah anazidiwa nguvu na bush,hata hapa bongo tunaona masheikh ndo wanauawa kila siku,acheni upumbavu
Nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtume rehma na amani ziwe juu yake amesema akiwaambia Sahaba zake na Waislam kwa ujumla:

"Muda utafika, kipindi ambacho Mataifa mbalimbali ya Dunia yatajikusanya Taifa moja baada ya Taifa jengine na kuwashambulia ninyi Waislam mithili ya watu wenye njaa waliyokusanyika kwa kushambulia sahani yenye chakula".

Masahaba wakashituka na mmoja wao akauliza "Waislam watakuwa wachache ki' idadi kwa kipindi hicho?"

Mtume akamjibu, "Waislam kwa kipindi hicho watakuwa ni wengi lakini uwingi wao utakuwa ni kama povu la bahari".....mpaka mwisho wa hadithi..(Hii hadithi utaipata kwenye Sunan Abi Dawood 4297)

Swali lako lipo sahihi, kama Waislam wanadai Allah ni mwenye nguvu inakuwaje mnatandikwa kila kona ya Dunia? Jawabu la swali lako ni hiyo hadithi ya juu. Pengine ni kwa nini Mtume alisema hivyo? Sababu ni kwamba Waislam wataacha Dini yao na mafundisho ya Dini yao. Ile amani Waislam watakayo ihubiri itakuwa ni ya mdomo na wala si ya moyoni. Yanayomchukiza Mungu ndiyo watakayoyafanya kama unafiqi n.m

Mtume anasema "ihfadhullahu yahfadhukum" Muhifadhi Mwenyezi Mungu naye Mwenyezi Mungu atakuhifadhi. Kumuhifadhi kwa maana ya kushikamana na maamrisho yake na kuyaacha yale aliyoyakataza.

Ukimuhifadhi Mungu(Allah), Mungu(Allah) naye atakulinda. Wengi wa Waislam tumebaki majina. Acha tuipate ya moto ya Jiwe.
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Kuna hulka ambayo wengi wao wanayo, ni kuzungumza kitu pasipokuwa na ufahamu nacho. Unaweza kujikuta kwenye majanga pasipo kutarajia. Vipi hao unao watusi Mungu wao kama ni kweli huyo Mungu wao ni wa haki mbeleni ukaja kutambua hilo utafanyaje?

Ni suala dogo tu. Haitomfaa mtu kuingia paradiso kwa kumtusi mwenzake au dini ya mwenzake au kufanya machukizo tu kwa vile ni wa itikadi tofauti. Iwe kwa Muislam, kwa Mkiristo au kwa waabudu Mizimwi.

Ila ni vyema tukarudi kwenye mjadala husika wa huu Uzi.
allah wa waislamu Ni kibao tu ila nyuma ya pazia ni shetani na majini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwizi akiiba anakatwa mkono,so what?? Mwanamke akifanya uzinzi wazinzi wanaume wanampiga mawe??? allah Ni shetani sio Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mantiki yako unafikiri kila anayeiba ni wa kukatwa mkono tu? Kuna wengine wanaiba kutokana na ugumu wa maisha, kuna wengine dhiki ya ghafla iliyowakumba na kiasi kadhaa cha mali kinahitajika ama tuseme hela ya lupango au Ada ya watoto na yeye hana na hajapata sehemu nyengine unafikiri atafanyaje huyo kama akipata fursa?

Ama Mali nyengine au vitu vyenye thamani vinawekwa katika hali ya ushawishi, mathalani vito vya dhahabu kama unaviweka kiholela mwengine anaweza akaingiwa na tamaa ya ghafla na akapita nacho.

Sasa unafikiri mtu akiiba tu ana katwa mkono? Hayo yote yanaangaliwa na mengineyo, kwa maana ni kipi kimemfanya mtu aibe? Ikiwa kama ni masuala ya kimaisha basi serikali itawajibika yenyewe ili kutengeneza mfumo bora wa maisha kwa raia wake. Ila kama ikithibiti mtu ni mienendo yake ni wizi tu hapo sheria itachukua hatma yake.

Na suala la mzinifu kupigwa mawe unaona ni baya!! Kwanza kwa nini uzini? Si umeruhusiwa kuoa/kuolewa sasa kwa nini uzini? Tena kwa wanaume mpaka wake 4 halafu unazini tena! Kama ni haki za ndoa hazitimilizwi kuna taratibu za talaka na unaruhusiwa kuoa/kuolewa tena.

Yakupasa ufahamu ni wajibu juu ya mamlaka husika kujiwekea utaratibu wa kuenzi na kuishi katika maadili. Kiuslam asiyeoa/kuolewa ukizini adhabu yako ni kucharazwa viboko 100.

Ila kama umeoa/umeolewa ukibainika imekula kwako. Kubainika kwenyewe wawepo mashahidi 4 tena wafahamike ni wasema kweli, wakiwa 3 umechoropoka aisee! Sasa ndugu yangu mpaka udakwe yaani umekubuhu kwenye kuchepuka na adhabu ya kupigwa mawe itakudondokea.

Kwa uchache Uislam upo hivyo.
 
Back
Top Bottom