ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,084
- 84,978
Pamoja na Serikali Kupitisha Sheria ya local content ambapo kiwango Cha tenda za ujenzi kilichotengwa Kwa Ajili ya Wakandarasi wa Ndani/wazawa kuwa Bilioni 50 Lakini Bado Serikali na taasisi zake inapuuza maamuzi yake yenyewe.
Kwa utaratibu huu unategemea Ajira na kuwezesha wazawa kutafanikiwaje ikiwa watinga sheria ndio wavunja sheria?
View: https://youtu.be/OQt8Ug51zYg?feature=shared
================
Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), imesaini mkataba na Kampuni ya TIL Construction Limited kwa ajili ya kuanza ujenzi wa Jengo la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (STI) Complex jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH, Dkt. Amos Nungu amesema kuwa ujenzi huo ni sehemu ya Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET), unaofadhiliwa na Benki ya Dunia.
Dkt. Nungu amesema katika mradi huo COSTECH wametengewa Sh. Bilioni 18 ambazo zitatumika kwa ajili ya kuimarisha na kuboresha menejimenti ya mifumo elimu ya juu katika kuwezesha mageuzi ya elimu kiuchumi pamoja na kuboresha miundo mbinu ya COSTECH.
My Take
Vijana ma jobless endeleeni kupambania mstakabli wenu vinginevyo fursa yenu itaendelea kuchukuliwa na Wageni hasa Wachina.
View: https://x.com/swahilitimes/status/1904210871141683407?t=m4QYkD5Ya2x14o7WIg7C_w&s=19