Libya: Saad Al Gaddafi aachiwa huru

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muamar Gadafi, aitwaye Saad Gadafi ameachiwa huru na mahakama nchini Libya.
Saad amewahi kuwa mchezaji wa timu ya taifa ya soka ya nchi hio.
Pia raisi wa shirikisho la soka la nchi hiyo
--
Gaddafi.jpg


Libyan authorities have released Saadi Gaddafi, a son of the former leader Muammar Gaddafi who was ousted and killed during a 2011 uprising, a Libyan official source and a unity government source said on Sunday.

Saadi Gaddafi fled for Niger during the NATO-backed uprising, but was extradited to Libya in 2014 and has been imprisoned since then in Tripoli.

He immediately departed on a plane to Istanbul, the official source said.

Libya has suffered chaos, division and violence in the decade since the uprising. The Government of National Unity was installed in March as part of a peace push that was also meant to include elections planned for December.

His release resulted from negotiations that included senior tribal figures and Prime Minister Abdulhamid Dbeibeh, the official source said. Another source said the negotiations also involved former interior minister Fathi Bashagha.

In 2018 the Justice Ministry said Saadi Gaddafi had been found not guilty of “murder, deception, threats, enslavement and defamation of the former player Bashir Rayani”.

In July the New York Times said it had interviewed Saadi’s brother, Saif al-Islam Gaddafi, who was held for years in the town of Zintan, as his supporters indicate he will run in the presidential elections planned for December.
 
Kuna laana huwa wanadamu wanaitengeneza hasa kwenye kumwaga Damu, Mtani wangu Mshana aje atusaidie hapa maana hiyo Libya imekuwa kama kichaka tu cha wahuni fulani.
 
Watakoma...Mimi binafsi nimewahi kufika Libya wakati wa Ghadafi...hao Libya wacha walie na kusaga meno...ni wajinga na wapumbavu pamoja...
Inasikitisha sana kwakweli, nchi imepoteana kabisa
 
Huyo baharia ndio alitoroka na begi la ma$$$ au nimemfananisha na yule kijana wa Mubarak
 
Saif Al Islam yeye yupo wapi sasahivi?,maana huyu ndio alikuwa na influence kwenye utawala wa Babayake
 
Saif Al Islam yeye yupo wapi sasahivi?,maana huyu ndio alikuwa na influence kwenye utawala wa Babayake
Nimesoma historia ya Gaddafi

Nilijua seif Al islam ndio mkubwa kumbe Ana kaka take anaitwa Mohamed Al Gaddafi alikuwa mkuu wa makampuni mawasiliano huko Libya

Wanadai Mohamed Gaddafi alikuwa anaandaliwa aje arithi mikoba ya babake ila yeye hakuwa na interest na mambo ya siasa .

Ndio akaanza kuandaliwa seif Al Islam

Muhammad Gaddafi mwana wa kwanza was Gaddafi kwa ndio yake ya kwanza

Seif ni wakwanza kwa mamaye na wa pili kwa babaye
 
Kuwalaumu wa Libya directly unakosea mkuu. Lawama zote ziende kwa US na allies wake (NATO) hao ndio wavurugaji wa amani kwenye nchi za Africa kwasababu ya tamaa ya rasilimali zetu.
lakini walioshindwa kuilinda amani ndo wavurugaji wakubwa wa amani..;)
 
Kuwalaumu wa Libya directly unakosea mkuu. Lawama zote ziende kwa US na allies wake (NATO) hao ndio wavurugaji wa amani kwenye nchi za Africa kwasababu ya tamaa ya rasilimali zetu.
Na wao wanayo nafasi ya kulaumiwa kwa upande wao kama ambavyo US wana nafasi ya kulaumiwa kwa upande wao.
 
Back
Top Bottom