Libya: Meli yenye bendera ya Tanzania ikiwa imesheheni silaha yaibua minong’ono

Hahah waturuki wanaotekeleza ule mradi ni wapumbavu sana wale,ukiwakodishia gari yako inarudi ikiwa screpa tupu.
Wanaburuza magari, madereva ni wabongo lakini...hizo gari zilizobandikwa DSM-RENT zinakoma!

Everyday is Saturday........................ :cool:
 
Msiwaraum mabeberu,jiraumuni wenyewe kwa kuwa na akili ndogo.Trump alisema mwafrica ukimpa silaha anaua ndugu zake,Je Akwilina aliuwawa na beberu? Je Lissu alipigwa risasi na beberu?
Dah...tusiwaraum? Unataka tujiraum kwa akiri hizi?
 
Hili jambo serikali ya CCM itakuwa inalijua kindakindaki.Inabidi walitolee ufafanuzi.Labda walikodishwa hàwakujua wamebeba nini!
 
Wakati mwingine bendera hupachikwa tu,na kuna meli hata jina hubadili katikati ya safari,,tatizo baharini hakunaga roadblock wala traffick
Mkuu hao trafic unaowaona wamezagaa mabarabarani ili kusimamisha magari bila mpango wapo sana barabara za shithole countries
 
Msiwaraum mabeberu,jiraumuni wenyewe kwa kuwa na akili ndogo.Trump alisema mwafrica ukimpa silaha anaua ndugu zake,Je Akwilina aliuwawa na beberu? Je Lissu alipigwa risasi na beberu?
Umenena vyema japo lugha yako sio fasaha. 'msiwaraumu' 'jiraumu'
 
Kama ni silaha kutoka Tanzania itakuwa manati tu hatuna kiwanda sie
Mabeberu acheni hila mungu anawaona mujue
 
Tanzania ni kisiwa cha amani
Kwa mujibu wa Vyombo vya Habari vya Ugiriki, mnamo Juni 10, 2020 meli ya mizigo yenye bendera ya Tanzania iliyokuwa imebeba silaha iliingia katika pwani ya Libya ikiwa imesindikizwa na meli tatu za Kijeshi za Uturuki na hivyo kuvunja agizo la EU la kutopeleka silaha nchini Libya

Inaelezwa kuwa kulikuwa na meli moja tu ya Kijeshi kwa niamba ya EU kusimamia utekelezaji wa agizo hilo na ilipoiambia meli yenye bendera ya Tanzania kugeuza, meli za Uturuki zilisema meli ile ipo chini ya ulinzi wao na kwa kuwa EU meli ilikuwa moja, ililazimu kutulia

Msemaji wa EU, Peter Stano amesema tangu kuzinduliwa kwa Operesheni Irini, katika bahari ya Mediterranean kumekuwa na matukio zaidi ya 75 kwa wanaoendesha opereshini hiyo kuchunguza meli kama ilivyokuwa Jumatano. Sasa wanawasiliana na mamlaka za chombo husika

Mnamo Machi 31, Jumuiya ya Ulaya (EU) ilizindua Operesheni ya Irini iliyolenga kuhakikisha heshima kwa tamko la Berlin juu ya kufuata vikwazo vya silaha huko Libya inasimamiwa. Meli za kukagua na kulinda pwani ya Libya zuia silaha kuingia Libya ziliwekwa katika bahari ya Mediterranean
=====

Greek media reported that an incident occurred on Wednesday (10 June) off the coast of Libya. A Tanzanian-flagged cargo vessel allegedly carrying weapons for Libya escorted by three Turkish frigates broke the arms embargo of the EU Irini operation.
Apparently, there was only one Greek frigate monitoring the arms embargo on behalf of the EU.

When the Tanzanian-flagged vessel was asked to back off, the Turkish frigates said the ship was under the protection of the Turkish state. Considering that there was only one EU frigate, it ultimately backed down. Apparently, the vessel ultimately reached the Libyan coast.

The Greek ministry of defence confirmed the incident.

Contacted by EURACTIV, EU Spokesperson Peter Stano commented:

“Since the launch of Operation Irini, there were more than 75 occasions when Irini hailed ships and vessels. It was also the case on Wednesday when Irini hailed for inspection a cargo vessel in the high seas off the coast of Libya – following the usual procedures. We are currently conducting further verifications with the competent authorities.”

“ln accordance with relevant UN Security Council Resolutions on the arms embargo on Libya (including resolution 2526 adopted last week on 5 June), the Operation remains in close contact with the Panel of Experts of the United Nations and will report to them accordingly. Again, this is in line with standard practices,” he added.

Stano continued, saying there have also been occasions in which some attempted to break the oil embargo too.

“On other occasions, Operation Irini also collected information about cases involving other actors – including an attempt to violate the oil embargo, which Operation Irini deterred.”

The incident raises a number of issues such as whether Operation Irini can in practice monitor the embargo. According to Kathimerini journal, Turkey appeared to have a total of eight ships in the area on Wednesday while the Operation Irini’s deployed units just one.

France, for instance, has not sent any frigate so far but has stated that its frigates could intervene within 72 hours.

Source: ATHENS - Weird incident with Operation Irini
 
Msiwalaum mabeberu,jilaumuni wenyewe kwa kuwa na akili ndogo.Trump alishawaambia mwafrica ukimpa silaha ataua ndugu zake,Je Akwilina aliuwawa na beberu? Je Lissu alipigwa risasi na beberu?
Umesahau aliwai kusema waafrika hawana akiri turudi tuwatawale tena
Ila nais alizungumzia waafrika wa kongo sio Tanzania
 
Umenena vyema japo lugha yako sio fasaha. 'msiwaraumu' 'jiraumu'
Mkuu nimeedit,lakini pia nikupongeze maana unaonekana wewe ni akili kubwa.i understand kuwa akili kubwa huangalia kwanza content kabla ya Jambo lolote while akili ndogo zikiwa busy kuangalia presentation style, grammar, spelling etc.Hongera sana
 
Kwa mujibu wa Vyombo vya Habari vya Ugiriki, mnamo Juni 10, 2020 meli ya mizigo yenye bendera ya Tanzania iliyokuwa imebeba silaha iliingia katika pwani ya Libya ikiwa imesindikizwa na meli tatu za Kijeshi za Uturuki na hivyo kuvunja agizo la EU la kutopeleka silaha nchini Libya

Inaelezwa kuwa kulikuwa na meli moja tu ya Kijeshi kwa niamba ya EU kusimamia utekelezaji wa agizo hilo na ilipoiambia meli yenye bendera ya Tanzania kugeuza, meli za Uturuki zilisema meli ile ipo chini ya ulinzi wao na kwa kuwa EU meli ilikuwa moja, ililazimu kutulia

Msemaji wa EU, Peter Stano amesema tangu kuzinduliwa kwa Operesheni Irini, katika bahari ya Mediterranean kumekuwa na matukio zaidi ya 75 kwa wanaoendesha opereshini hiyo kuchunguza meli kama ilivyokuwa Jumatano. Sasa wanawasiliana na mamlaka za chombo husika

Mnamo Machi 31, Jumuiya ya Ulaya (EU) ilizindua Operesheni ya Irini iliyolenga kuhakikisha heshima kwa tamko la Berlin juu ya kufuata vikwazo vya silaha huko Libya inasimamiwa. Meli za kukagua na kulinda pwani ya Libya zuia silaha kuingia Libya ziliwekwa katika bahari ya Mediterranean
=====

Greek media reported that an incident occurred on Wednesday (10 June) off the coast of Libya. A Tanzanian-flagged cargo vessel allegedly carrying weapons for Libya escorted by three Turkish frigates broke the arms embargo of the EU Irini operation.
Apparently, there was only one Greek frigate monitoring the arms embargo on behalf of the EU.

When the Tanzanian-flagged vessel was asked to back off, the Turkish frigates said the ship was under the protection of the Turkish state. Considering that there was only one EU frigate, it ultimately backed down. Apparently, the vessel ultimately reached the Libyan coast.

The Greek ministry of defence confirmed the incident.

Contacted by EURACTIV, EU Spokesperson Peter Stano commented:

“Since the launch of Operation Irini, there were more than 75 occasions when Irini hailed ships and vessels. It was also the case on Wednesday when Irini hailed for inspection a cargo vessel in the high seas off the coast of Libya – following the usual procedures. We are currently conducting further verifications with the competent authorities.”

“ln accordance with relevant UN Security Council Resolutions on the arms embargo on Libya (including resolution 2526 adopted last week on 5 June), the Operation remains in close contact with the Panel of Experts of the United Nations and will report to them accordingly. Again, this is in line with standard practices,” he added.

Stano continued, saying there have also been occasions in which some attempted to break the oil embargo too.

“On other occasions, Operation Irini also collected information about cases involving other actors – including an attempt to violate the oil embargo, which Operation Irini deterred.”

The incident raises a number of issues such as whether Operation Irini can in practice monitor the embargo. According to Kathimerini journal, Turkey appeared to have a total of eight ships in the area on Wednesday while the Operation Irini’s deployed units just one.

France, for instance, has not sent any frigate so far but has stated that its frigates could intervene within 72 hours.

Source: ATHENS - Weird incident with Operation Irini
Hii issue nakumbuka serikali worked on to address vessels registration

Sijui tumefikia wapi
 
Back
Top Bottom