Libya: Meli yenye bendera ya Tanzania ikiwa imesheheni silaha yaibua minong’ono

Akikujibu una bahati
Msiwalaum mabeberu,jilaumuni wenyewe kwa kuwa na akili ndogo.Trump alishawaambia mwafrica ukimpa silaha ataua ndugu zake,Je Akwilina aliuwawa na beberu? Je Lissu alipigwa risasi na beberu?
 
Alafu CHADEMA mnalia kutengwa na kila mtu kwa ujinga huu mtaendelea kuonekama wapuuz Yan Kuna mijitu umu inakubal kua meli niyakwetu watanzania Yan kwa ungese huu alafu mnataka watu wenye uelewe wawe upande wenu ngoja tusubiri October tuwaonyeshe ni kwa kiasi gani tunaweza kudeal na nyie
 
Mkuu huyo ni muha wa Mwandiga ninfahamu kabisa, siyo kupitia jf bali kwa sura kabisa na nyumbani kwao kabisa mwandiga sokoni
Mkuu hakuna muha wa hivyo.waha wanaakili si sawa na huyo kilaza
 
Hiyo meli inausajili wa Tanzania, ambapo Zanzibar ndio wanafanya usajili wa wazi (Open Registry). Hawa wanasajili meli yoyote hata kama mmiliki sio mzawa.

Hiyo meli haina kosa, biashara ya meli huchagui mzigo kuna muda unakodiwa kubeba mizigo wa serikali,kampuni,shirika au jeshi.

Hapo hiyo meli ipo kwenye biashara halali ya kukodiwa, kichwa cha habari cha kuonyesha uraia wa meli ndio gumzo.
 
Uasijili wa meli umefanyika wapi kwani

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Meli huwa inasajiliwa kwenye nchi husika.
Usajili upo wa aina mbili Open registry (Usajili wa wazi) ambapo mtu wa taifa lolote anaweza akasajili meli kwenye nchi yenu. Mfano ni Zanzibar, Panama,Liberia na Belize.

Closed Registry huu ni usajili wa meli ambao unamtaka raia awe mzawa wa nchi husika. Huku bara tunasajili mpaka uwe mzawa au uwe na share walau 50%.

Kwa nchi kama Panama wao wana open registry gani hata online unasajili meli wao pesa kwanza, na ndio wanaongoza kwa kusajili meli kibao saizi wanaweza wakafikisha hata +12,000.
 
Hivi kwanini bendera ya Tanzania haieshimiwi ndio maana sasa kupata viza kwa baadhi ya nchi inakuwa ngumu kutokana na matendo tunayofanya ya kujichafua
Kama Watanzania wenyewe hata katiba yao hawaiheshimu wanaisigina,sembuse bendera nani ataiheshimu sasa?
 
Back
Top Bottom