Kibumbula JF-Expert Member Joined Mar 26, 2018 Posts 3,697 Reaction score 3,413 Jun 19, 2019 Thread starter #21 Victoire said: Mimi mpaka leo ni wastern union tu. Sijui world limit tupa kule. Click to expand... ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Victoire said: Mimi mpaka leo ni wastern union tu. Sijui world limit tupa kule. Click to expand... ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kibumbula JF-Expert Member Joined Mar 26, 2018 Posts 3,697 Reaction score 3,413 Jun 19, 2019 Thread starter #22 Heisenberg said: Umeamua kuwa Mhafidhina. Hauna reality na hauko cost effective Click to expand... Hakika mkuu ๐๐๐๐๐
Heisenberg said: Umeamua kuwa Mhafidhina. Hauna reality na hauko cost effective Click to expand... Hakika mkuu ๐๐๐๐๐
Gidbang JF-Expert Member Joined Jun 1, 2014 Posts 4,485 Reaction score 4,014 Jun 20, 2019 #23 Kibumbula said: Aise.Hivi kwenye facebook hiyo hela itatumika kwa ajili ya kufanyia nini, maana bado hata sielewi tu. Click to expand... Mm sielewi kbs na nimeamua kutokuelewa kuna mambo nikuyaacha tu kuepusha balaa ila nahisi wao wanawapa mabenki en yanakopesha kwa mainvestors stock expachne
Kibumbula said: Aise.Hivi kwenye facebook hiyo hela itatumika kwa ajili ya kufanyia nini, maana bado hata sielewi tu. Click to expand... Mm sielewi kbs na nimeamua kutokuelewa kuna mambo nikuyaacha tu kuepusha balaa ila nahisi wao wanawapa mabenki en yanakopesha kwa mainvestors stock expachne
M mbwewe JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 3,267 Reaction score 3,415 Jun 20, 2019 #24 Victoire said: Mimi huo upuuzi siwezi tumia hata iweje. Click to expand... Zilipoingia simu za mkononi kuna watu walisema hivi iv mwisho wa siku wakasanda.....hapana chezea teknolojia
Victoire said: Mimi huo upuuzi siwezi tumia hata iweje. Click to expand... Zilipoingia simu za mkononi kuna watu walisema hivi iv mwisho wa siku wakasanda.....hapana chezea teknolojia
Kibumbula JF-Expert Member Joined Mar 26, 2018 Posts 3,697 Reaction score 3,413 Jun 20, 2019 Thread starter #25 mbwewe said: Zilipoingia simu za mkononi kuna watu walisema hivi iv mwisho wa siku wakasanda.....hapana chezea teknolojia Click to expand... Hakika mkuu.Japo hatuelewi kwa sasa hicho kitu cha facebook.๐๐๐๐
mbwewe said: Zilipoingia simu za mkononi kuna watu walisema hivi iv mwisho wa siku wakasanda.....hapana chezea teknolojia Click to expand... Hakika mkuu.Japo hatuelewi kwa sasa hicho kitu cha facebook.๐๐๐๐
New Nytemare JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 3,450 Reaction score 2,683 Jun 21, 2019 #26 Victoire said: Mimi huo upuuzi siwezi tumia hata iweje. Click to expand... huwezi kupingana na technology labda ufe...mbona mpesa unatumia...
Victoire said: Mimi huo upuuzi siwezi tumia hata iweje. Click to expand... huwezi kupingana na technology labda ufe...mbona mpesa unatumia...
Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,455 Reaction score 5,326 Jun 22, 2019 #27 Hizi ni Dalili kwamba fedha za mfumo wa makaratasi zinapotea taratibu