Mkuu unakosea sana kuihusisha Taasisi yenye hadhi kama liberman Boys ambayo iko chini ya Holy Ghost Fathers na vitendo vya kishoga!Kwa kweli umenihuzunisha kwani inaelekea hujui kuwa watoto wetu tunaowapeleka pale ndo wanakuwa na tabia mbovu ambazo either wanatoka nazo majumbani mwao au shule walizotoka. Mimi ni mmoja wa wazazi ambao naona fahari sana kwa mwanangu kumaliza pale na sijawahi kusikia uchafu huo unaousema.Wakati mwingine unaweza kushtakiwa kwa defamation kwa kuihusisha taasisi kubwa kama ile na vitendo vya mwanafunzi mmoja mmoja.
Samahani sana kama nitakuwa nimeeleweka vibaya. Nia yangu sio kuhusisha taasisi ila najua ni wanafunzi wenye tabia chafu ambao wanatakiwa kusimamiwa vizuri ili wasiwe na tabia hiyo. Ndio maana nikamua kuuliza kwa wenye uzoefu na hiyo shule.
Nilikuwa kwenye kutaka kuijua shule lakini bahati mbaya taarifa niliyopata kwa mtu wa kwanza ni hizo. Sasa kumpata mwingine ni ngumu zaidi ya kutumia jukwaa.
Sorry kama sikutakiwa kuuliza hadharani but privately unaweza mtu yeyeyote hanisaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.