KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
kwa kheri na ilo libeneke lenu, it seems you are trying to die hard
Hivi ni nani aliyekutowa Lupango leo?Chadema nao wako mbioni kuanzisha ya kwao!! CDM wazee wa kukopy na kupest!
Hukutaka nirudi?Hivi ni nani aliyekutowa Lupango leo?
Washereheshaji ni sehemu muhimu sana ya JF, hata Marelia Sugu nilitamani arudishwe tatizo lake kubwa ni regionalism radical hatred.Hukutaka nirudi?
Chama chetu dume kweli kweli la mbegu haswaa!!Chama dume, chama tawala , chama chenye dola , chama cha ccm kimeanzisha blogu ambayo pamoja na kuhabarisha habari za mapema za shughuli za chama, lakini itakuwa ikiyapa kipaumbele pia matukio ya kijamii, kisiasa, kibiashara, uchumi, burudani, sanaa na michezo na pia kuyapokea na kuyasambaza maoni ya wengine ambayo hayatakiuka maadili ya vyombo vya habari.
Anuani ya Blogu ni : CCM Chama Blog
Link : Chama Cha Mapinduzi Blog
Karibuni wote wana JF tujimwage kwenye blog ya chama na yenye kutoa habari za ukweli na uhakika
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !
Chama dume, chama tawala , chama chenye dola , chama cha ccm kimeanzisha blogu ambayo pamoja na kuhabarisha habari za mapema za shughuli za chama, lakini itakuwa ikiyapa kipaumbele pia matukio ya kijamii, kisiasa, kibiashara, uchumi, burudani, sanaa na michezo na pia kuyapokea na kuyasambaza maoni ya wengine ambayo hayatakiuka maadili ya vyombo vya habari.
Anuani ya Blogu ni : CCM Chama Blog
Link : Chama Cha Mapinduzi Blog
Karibuni wote wana JF tujimwage kwenye blog ya chama na yenye kutoa habari za ukweli na uhakika
CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !
Mambo hayoooooo: Link :www.ccmchama.blogspot.com