Lianzishwe Kombe ambalo litakuwa na Team za Visiwa vya Comoro, Mauritius,Shelisheli na Zanzibar

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,314
Ili team yetu ya yanga iwe inafanya vizuri nashauri lianzishwe kombe ambalo litakuwa lina team toka visiwa vya komoro,madagascar,shelisheli ,zanzibar na mauritius na hapo ndo team yetu ya yanga ishiriki. Hapo naamini tutaweza chukua kombe.
 
Na Oman, Saudi Arabia, Somalia, Al Shabaab, Al Qaeda, Osama bin Laden
 
Back
Top Bottom