LHRC ni umama

LHRC ni umama

Jf sijui wamekuwaje siku hizi. Wanaruhusu ujinga mwingi kutumwa kwenye forum zao.
 
Kituo cha sheria na haki za binadamu LHCR Kinapinga vikali matumizi ya neno "umama" katika mitandao ya jamii, sababu neno hilo linamdhalilisha mwanamke na kumfanya aonekane ni kiumbe dhaifu mbele ya jamii.

Watanzania wenzangu, wanaume na wanawake nawauliza hivi hili shirika la LHCR liko sahii kweli, kwa nadharia hii inayolenga kumfanya mwanamme aonekane kama mwanamke, na mwanamke aonekane kama mwanaume?

Wallah! mi nahapa chini ya Mbingu na Dunia kwamba nadharia hii nitaikubali siku wanawake wataenda "Haja ndogo" huku wamesimama...

Nalog off.....
Hujui nguvu walizo jaaliwa kina Mama we wachukulie poa tuu jaribu kufuatilia kwenye Bible story ya Samson na Delila.
 
Wallah! mi nahapa chini ya Mbingu na Dunia kwamba nadharia hii nitaikubali siku wanawake wataenda "Haja ndogo" huku wamesimama...

1 Petro : 3 : 7 - Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe.


“Endelea kuamini kuwa kukojoa huku ume simama ndo kila kitu kwako.........swali la kujiuliza mtu asiye na nguvu mtu mnyonge kwa nn tuna ambiwa tuishi naye kwa akili zaidi?”
 
back in the days when wanaume tha dar and umama took place
 
Back
Top Bottom