LHD Scania 113/320 and 113/380


Hiyo bei CIF Dar included tax na ushuru?

Hizo gari ni ton ngapi? 18 au 24? HP ndio hiyo 320 na 380?

Kwa nini mnauza vitu kama ndizi? Huweki description wala nini? au ndio mpaka mbembelezwe? Pili, hayo magari speedometer inasomaje? Mwaka gani yametengenezwa? Country of Origin kama nataka kujua Vin Number yake na any accident history.

Watu hawanunui tuu kama mazumbu kuku siku hizi.
 
mkuu Mtanganyika hiyo bei unakabidhiwa gari ikiwa imelipiwa ushuru na unapewa file zima pamoja na kadi yake,hizo gari ni ton 18, na hiyo nyeupe na buluu HP 320, hiyo ya kijani na wekundu HP 380, gari zote ni za 1994, hiyo nyeupe na buluu ina km 782,000 na hiyo kijani wekundu km 917000, yemetengenezwa sweden,hayajawai kupata ajali yoyote hile.


 

Hapo sasa ndio tunasema umezungumza kibiashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…