LG plasma 42 inauzwa

Kwanini matangazo mengi hayatoagi BEI..... kwangu ndio kipimo cha kujitangaza ktk biashara inayohusisha monies/pennies.... Ili unavyopigiwa simu mtu tayari ameshafanya hata preliminary comparative analysis.
lakn tatizo la biashara za kibongo ni za kihuni sana,kila kitu ni uswajili tu watu wahako-open kabisa
sasa wewe kusema tu bei unaona shida gani? au tunatongozana hapa?
yaani watu wakoki-dowan dowan tu...aghhhhhhhhhhhh
 
du wewe una mengine sasa,na mnunuzi hayamtoki yote hayo kamwangalie Gaddafi huko anatukana wazungu:hand:
 
Hivi mtu kama hawezi kuiona na anataka kununua inakuwaje? Weka bei basi tu-bargain hapa hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom