LG, p710. help please.

security

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
322
Reaction score
75
Siku ya tatu leo front key kama back na search hazifanyi kazi vizuri yaani mpaka uguse mara nyingi kitu ambacho sio kawaida. Lakini ukiitumia ikiwa kwenye charger zinafanya vizuri sana. Msaada menu wakuu. Simu nimeinunua mwaka Jana. Ahsante
 
Du mkuu! hakuna kabisa njia nyingine haya majanga.

Dah.. mara nyingi hiyo ni hardware issue mkuu.. unaweza unakajaribu kureset ila kwa asilimia 30% inaweza kufanya kazi kama kawaida
 
Je charger unayotumia ni ya LG, ulishawahi kuchanganya charger? Mara kadhaa tatizo hutokea baada ya kutumia charger isiyo yake. Please note: Ni hatari kwa uhai wa simu yako utumiapo charger isiyo yake, kwakuwa kuna utofauti wa vitu vingi zaidi ya current, voltage na ampere.

Pia kama ulivyoshauriwa hapo awali yaweza kuwa hardware driver(software) au memory, wakati mwingine ukii-resett inarudi sawa.
 

du! umenigusa mkuu, yaani tatizo limeanza baada ya kuanza kutumia charger ambayo niliinunua kwa chinga mtaani. charger yake original niliipaki baada ya kuona inakata network ninapoichaji na hio charger. kwa sasa nimei restore lakini tatizo bado Lipo ila nikipachika charger hizi batani zinafanya kazi vizuri. yaani Ile charger naamini ndio tatizo. nakwenda kuitupilia mbali.
 
Nitabadili touch screen nyingine wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…