Awadh Upunda
Member
- Feb 8, 2017
- 27
- 11
Hii nimeipata ktk TV ya smart ya LG sijui kwenye tv nyingine nikaona bora niwajulishe nanyi kuhusu hili,
Kama wewe unatumia tv ya lg hili litakua linakuhusu tv yko inauwezo wa kukupa burudani kwa kuangalia Chanel za nyumbani tena nila malipo yoyote
ITV
Capital
Cloud tv
Wasafi tv
Startv
Chanel ten
Tbc
Chanel 5
Na nyingine ningi,muhimu kuwa na antenna....
kwa maelezo zaid nicheki 0652170490
0686623500
Sent using Jamii Forums mobile app