Wakuu nimejichanga nikachangika kutokana na anko magu kuchukua koro-show zetu bila kutulipa nikapata 250000 nataka kununua simu used ya korea aina ya lg k 10. Je wadau mnanishauri nini?