Msaada wan JF LG4 yangu inakataa kuwaka ikiwaka in awake nusu haimalizi half in awake tena na pia inaandika android setting half ikiandika hivyo in aloud tu mpaka inachemka kama motor half inajizima inajiwasha tena half in aisha njia ni nini tatizo msaada tafadhali