East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,812
- 6,036
Mie hizi nazikubali sana, ila hazijanibariki machoni pangu.. ni kama watoto wazuri, unakuta wazuri wengi ila anakuteka mmoja na sababu ya kukute inaweza ikawa rahisi tuView attachment 1565940
Katika design ambayo Range Rover walicheza kama Pele ni hii hapa. Ukiachana na P38 na Vogue ya 2002 the finest design ni hii!
Hio unayoipenda wewe mie sijawahi ikubali hata.