Lexus lx570 vs toyota landcruiser v8

View attachment 1565940
Katika design ambayo Range Rover walicheza kama Pele ni hii hapa. Ukiachana na P38 na Vogue ya 2002 the finest design ni hii!

Hio unayoipenda wewe mie sijawahi ikubali hata.
Mie hizi nazikubali sana, ila hazijanibariki machoni pangu.. ni kama watoto wazuri, unakuta wazuri wengi ila anakuteka mmoja na sababu ya kukute inaweza ikawa rahisi tu
 
WAKUU NIAJE
ASEE MOJA KWA MOJA KWENYE MADA KIBONGO BONGO UKIMUONA V8 CRUISER UNAIHESHIMU ILA KUNA HUYU MNYAMA LEXUS LX570 NI WA MOTO SANA KWANZIA INTERIOR AND EXTERIOR DESIGN. KUHUSU HP PERFORMACE MNYAMA LEXUS WA MOTO PIA MJAPAN TOYO ANA 381HP HUKU MNYAMA LEXI CUTE NI 383HP. PICHA HAPO CHINI TUFANYE UAMUZI SAHIHI TUKIUZA CROWN ZETU TUKITAKA KUAMIA KWENYE SUV
To be honest hii Lexus LX 570 silipendi,pamoja na kuwa inaweza kuwa na features za kisasa sana,ukiniambia nichague kati ya hizo mbili ili niiridhishe roho yangu ntakimbilia hiyo V8,

hiyo lexus kuna jamaa mmoja analo hapa mtaani kwangu,sio kwa sababu ya jealous ila halipendezi sana,hiyo desidgn yake kwa mbele na hata nyuma,sana sana ni indicator zake zinavyowaka otherwise kwangu ni ya kawaida sana...
 
To be honest hii Lexus LX 570 silipendi,pamoja na kuwa inaweza kuwa na features za kisasa sana,ukiniambia nichague kati ya hizo mbili ili niiridhishe roho yangu ntakimbilia hiyo V8,hiyo lexus kuna jamaa mmoja analo hapa mtaani kwangu,sio kwa sababu ya jealous ila halipendezi sana,hiyo desidgn yake kwa mbele na hata nyuma,sana sana ni indicator zake zinavyowaka otherwise kwangu ni ya kawaida sana...
Ila ni gari kali sana mshua...Mi naona liko sawa tu!
 
Ila ni gari kali sana mshua...Mi naona liko sawa tu!

Hata mjeps sio mbaya, anatusaidia sanaaa

20200911_111039.jpg
 
Back
Top Bottom