jikuTech
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 228
- 290
Nimekuja na Hoja hii nahitaji msaada kwenye comment hapo, mimi nimeishia hapo, kama kuna mtu anaweza kuweka vizuri kwa ajili ya mtu ambaye ni mgeni kabisa kuelewa ni nini hasa namaanisha anisadie kuongeza,kurekebisha na namna yoyote nzuri ya kwake.
Karibu:
TEHAMA
kirefu cha maneno Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, huwakilisha teknolojia ya kompyuta na mitandao ya mawasiliano.
Tehama ya awali:
ni utumizi wa vifaa na ufanyaji wa mambo ya Tehama ngazi ya mwanzo kabisa, taaluma hii inajumuisha namna ya kutumia vifaa vya teknolojia hasa simu na kompyuta .
Tehama ya kati:
ni utumizi wa vifaa na ufanyaji wa mambo ya Tehama ngazi ya kawaida , taaluma hii inahusisha matumizi ya intaneti katika kutafuta taarifa mbalimbali , ujuzi wa kuweka program kwenye simu au kompyuta na kila kitu kuhusu miondoko kwenye vifaa vya teknolojia.
Tehama ya juu:
ni utumizi wa kiwango cha juu wa mambo ya Tehama, Mdau , hapa atakuwa na uwezo wa kutengeneza programu za kompyuta kutoka kwenye Mawazo yake mwenyewe kwa kutumia ujuzi wa programming. Tehama ya juu ina mambo mengi ndani yake ambayo utayafahamu kadiri unavyo kuwepo kwenye kipengele hiki cha Tehama ya juu.