Let's work Together!

Let's work Together!

Multpurpose

Senior Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
123
Reaction score
78
Habari. Kama title inavosomeka hapo juu.
Ningependa kuwapa fursa wajasiriamali/wafanyabiashara wanaojihusisha na
°Kupika Keki
°wanaouza/kutengeneza kadi za harusi nk. na
°wapambaji wa ukumbi wa sherehe /event planners.
Kuungana na Mimi nikiwa kama wakala wao kwaajili ya matangazo ya biashara zao.
Nimepata hilo wazo baada ya kuona uhitaji upo lakini kuna uhaba wa huduma hizo nilizotaja hapo juu.

Nipo kivule, matangazo nitafanya kupitia stationary yangu.

NB: nahitaji watu ambao watakuwa serious na kazi zao. Watakaopatikana kwa urahisi pindi kazi/order ikitokea.
kwa maelezo zaidi niPM.
 
Unahitaji watu wa huko huko kivule ama vip?
Weka maelezo hapa ya watu wawe wapi kupunguza load huko pm.
 
Anywhere its okay. ili mradi awe na uhakika wa kupatikana kwa urahisi either kwaajili ya delivery ama mawasiliano ya ziada na mteja wake.

Kwa ajili ya delivery means wa mikoani hii haituhusu. Mawasiliano ya ziada sio ishu. kama inawezekana ni PM
 
Back
Top Bottom