Lets support this to help create 1000+ jobs for Tanzanians!

Hunk Troy

Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
11
Reaction score
25
PayPal haijaruhusu mtanzania yeyote kupokea pesa. Hii inamaanisha hatuwezi kuuza chochote kupitia mitandao maarufu kama eBay, hatuwezi kufanya kazi za mitandaoni (yaani freelancing) na kujipatia kipato, n.k.
Hivyo basi tumeamua kuishawishi PayPal (kupitia change.org) kuruhusu kila mtanzania mwenye PayPal account aweze kuzipata fursa tajwa.

Kufanikisha lengo hili tafadhali fungua link hapo chini, sign hiyo petition kisha share na wenzako. Wanaigeria waliweza kuishawishi PayPal, na sisi tunaweza.

Tukifanikisha hili watanzania tutakua tumejitengenezea zaidi ya ajira 1000!

https://www.change.org/p/daniel-schulman-tanzanians-need-to-receive-funds-via-paypal

Daniel Schulman: Tanzanians need to receive funds via PayPal



Ahsanteni
 
Nime sign tayari, lets do this guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…