Let's Stay awake

Let's Stay awake

SlimBoy

Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
29
Reaction score
8
Hivi jamani ni lini tutaacha kuwa low thinkers
Mgombea leo anakuja na sera za kupanda daladala na kwenda kwa mama ntilie just for a few hours wakati from there akipata hawez share kbsa hyo lifestyle na sisi tynadanganyika kizembe mtu anamwaga pesa nyingi mnahisi hazimuumi akipata hayo machungu yake kuzirudisha tutashika tama, He marks no difference na ccm akiingia madarakani ukawa u had a very nice policy but excuse me for accepting (....)na mmeonyesha udhaifu mno tena sana

The same person was your opposite nature n now you're in common that notifies us that anything is possible for a change no promises are reliable from you
Its a dump feeling
 
haha kwahiyo unadhani ccm walitumia nn jumapili bilion na for 50 and plus years wameigeuza hii nji yakwao
na wake zao
ndugu zao
wakat wengine wanataabika kama wakimbizi njini kwao

ukiwa na kadi ya ccm ni qji tosha kwa lolote loh tumecho


maneno ya ccm ni yaleyale hakuna lolote jipya...............


waondoke wengine waje takataka kabisa
 
haha kwahiyo unadhani ccm walitumia nn jumapili bilion na for 50 and plus years wameigeuza hii nji yakwao
na wake zao
ndugu zao
wakat wengine wanataabika kama wakimbizi njini kwao

ukiwa na kadi ya ccm ni qji tosha kwa lolote loh tumecho


maneno ya ccm ni yaleyale hakuna lolote jipya...............


waondoke wengine waje takataka kabisa

Sasa isiwe bora kuondoka ccm tushaichoka na ni dhahili tutaikabidhi kwenye mikono ovyo tutakuwa hatuna akili ya kutaka mabadiliko, ukawa walionyesha nia toka mwanzo kuleta mabadiliko ila kwa kununuliwa na wana ccm sio kweli kbsa ni maigizo ya wazi wazi
Demu akukatae kwa nyodo na kwenda kwa mume mwingine then aachike arudi kwako ni utaahila huo
 
Watanzania wanahitaji madiliko. Chama cha mapindunzi hakina mapinduzi so wapinzani tutawaonesha nin maana ya mapinduzi.
 
Back
Top Bottom