Let's share: Uliwahi kusaidiwa na mtu usiyemfahamu kabla (msamaria mwema)? Kipi kilitokea?

Hiki Kisa kilitokea Singida miaka 99 au 2000 kwa Mshkaji wangu, Huyu jamaa wakati akienda kwenye shughuli zake alimuona mtoto wa miaka kama 8 akitembea barabarani, akasimama na kumuuliza we dogo unaenda wapi? Maana aliona kama amepotea, dogo akasema anaenda singida kijijini, jamaa kusikia hivyo akajua huyo dogo ni mgeni Singida. Akamuuliza unatoka wapi akasema ametoka Dar. Mshkaji akamwambia Panda gari, Kwenye mazungumzo jamaa akagundua kuwa huyo dogo ameachwa stendi ya Bus na mzazi wake, na sababu kuu ni kuwa mama wa kambo alikua hamtaki huyo mtoto,Jamaa akamwambia dogo kama wao hawakutaki basi utaishi na mimi kama mtoto wangu. Huyu mshakaji alimchukua huyo dogo na kumpeleka kwake(jamaa alikua na Uwezo) Dogo alishi hapo , mahitaji yote alipewa kama watoto wengine wa hiyo nyumba, mwisho alipelekwa mwanza kusoma na kuishi na wazazi wa huyo mshkaji. Kwa ujumla huyo dogo aliishi na hiyo familia kwa takriban miaka kumi, hii familia ni waarabu na dogo alikua ni mkristo lakini walimchukulia kama mtoto wao na wala hawakutaka kumsilimisha. Dogo alivyo kua akaona maisha ya nidhamu, shule hayawezi akaamua kutimua zake. Hii familia mpaka leo ina masikitiko maana wameona kama mtoto wao amepotea, Huyo mshkaji sitakuja kumsahau maishani mwangu.
 
very touching mkuu, nahisi hapo ni milambo bila shaka
 
Vipi ukimuona unaweza kumpa Tunu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
elimika jenga taifa
 
Nakumbuka 8 years back niliharibikiwa na Gari sehemu za Mwasonga na nikawa nimeishajua suluhisho lake kilichonifurahisha ambacho mpaka leo hii nakikumbuka jamaa wengi walikuwa wakipita na magari yao wakinitimulia vumbi
Lakini kuna jamaa mmoja hata simjui alisimamisha gari yake akaja akanambia " POLE SANA BROTHER KUNA CHOCHOTE NAWEZA KUKUSAIDIA'" nilimshukuru saana na kumtaarifu kwamba nimeishapata solution
Huyu hakunisaidi lakini azma yake ya kunisaidia ilifanya nisimsahau
Na ameniambukiza tabia hiyo kila nionapo mtu amekwama barabarani husimamisha gari na kuangalia uwezekano wa kumsaidi
Virtues attract other virtues, while Vices too attract others
 

Huyo mkaka akija pm kwa mfano, utampa tigo au Madame B
 
Ndo shida ya watoto wa Dar es Salaam,ndio maana makobdakta huwapotezea,daily wanapoteza?No.
Wanafunzi wa MLIMANI PRIMARY UDSM wao ndo zao kuombaomba kwenye viunga vya chuo,hii nayo kitabia si nzuri

watoto wengine wa dar hudai kuwa wana njaa, hawana hela ya msosi, cjui ni kweli au wanakuwa wametumwa na wa2 SDG
 
Reactions: SDG
Mimi nilikuwa na hamu ya kunywa na sina hela Mara mtu akakosea M-PESA aisee nilikunywa mpaka kidogo nizimie namshukuru aliyekosea maana simjui
 
Huyo kaka ndio mimi thatha.
 
kwa kweli mie sijawahi saidiwa zaidi ya ndugu na wazazi wangu, ila mie nilishawahi saidia wengi tu na hata siwajui na wala sina mahusiano nao,
 
Hivi hapa ndio mwisho wako wa ukomo wa kufikiri?
Unadhani kila saa tunawaza kufirw.a na kufir.a?
Kuna mambo kibao ya kufanya.....sio kuwaza kutombaana kaka sawa eeeee
Mkkundu wangu uko kwa ajili ya kunyya na kujamba tu.
Usiku mwema.

Hahaa sio kwa dongo hilo, am just little bit obsessed with kufir.a Madame B
 
Sad story.Pole
 
2010 Naenda Advance Songea Sina Ndugu. Nimekaa Kwenye Super Feo Na Mjamaa Anasoma Vitabu Tu. Hatujaongeleshana Mpaka Morogoro. Kufika Mikumi Tukaanza Kupiga Stori,You Know What!?
Songea ni watu wakarimu sana, umenikumbusha mbali, kisa chako kinataka kufanana na changu, ila mimi nilipanda Summry miaka ya nyuma zaidi yako, na nikachelewa zaidi ya hiyo maana sie tuliharibikiwa na Gari, tulifika saa 7 na ni mara ya kwanza, nikapata support kutoka kwa mtu ambaye kwakweli ukimuangalia muonekano, unaweza hisi atakuingiza kichochoroni akukabe maana ana kila sifa za kimuonekano za kuwa mkabaji, ila alinisaidia, nakaenda geto kwake, kesho yake asubuh nikaenda zangu Mbinga kikazi
 
Toa sadaka kwa kusaidia watu wasiojiweza hicho kiasi au hata nusu ya kiasi cha pesa.
 
Since day one nasoma mwandiko wako kwenye uzi wa "maoni ushauri kwa wanataka kuishi mbele" nikatokea kukukubalisana mwamba,,huwa sikati tamaa nikikukumbuka mzee baba
Hata jina lanhu la jf nilichukuwa kutoka kwenye quote yako "bongo nyoso bongo mufilisi" nakukubal mwamba .....Zangu dua to win maisha baba
 

Peace n' respect to you Mkuu. Nimefurahi sana hii comment yako mwamba.

Tuendeleze harakati... ni marufuku kukata tamaa chini ya jua. Zetu dua ...

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…