Lets pray for China tusihesabu chochote

Lets pray for China tusihesabu chochote

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Daaaah ugonjwa ni kitu kibaya ndugu zangu haswa huo unaokula umati

Nchi haizalishi inakua busy kuhudumia mamilioni ya wagonjwa yaani unakua busy tu kupambana na ugonjwa

Yaani hadi nimeionea china huruma aisee yaani hadi inaomba support kwa umoja wa ulaya ambao ni mabeberu [emoji23] sio kitoto

Wanaosema china walitengeneza kwa ajili ya kuzuia maandamano ya hongkong swali jee kama walifanya hivyo walitengeneza bila kuwa na dawa?

Suala la korona linaumiza kichwa sana na huenda mabeberu wana mkono wana msemo wao wa "We put disaster into an opportunity"

Halafu tabia ya Wachina kula kila kitu mpaka visvyoliwa ni sababu maana huwezi kujua kulikua na aidha ugonjwa uliosambaa kwa popo i mean magonjwa ya mlipuko kwa wanyama na ndege mfano mafua ya ndege,kideri,kimeta,hiyo ni mifano kwa magonjwa ya mifugo nachomaanisha ni kuwa huenda popo au wanyama wengine walikua na mlipuko wa magonjwa unaondelea kimya kimya bila wao kujua wakaendelea kula ndo ikawa hivyo

Wengine wanashindwa kuiombea china kwa sababu ya madhila wanaowafanyia minorities people like Muslims na Christians japo wakristo hawajakumbwa na udhia kivilee huko china kama waislam ambao wamekumbwa na madhila wanayofanyiwa na wachina

Lakini mbali na hayo tuwaombee tu tusihesabu mabaya yao


Ziko wapi nchi za Africa, AU mko wapi mbona china ni mshirika wenu na ni muungaji mkono wa baadhi ya madikteta uchwara hapa Africa mbona kimya hamumsaidii china ambaye mnamsifia kwa kusema ni rafiki wa kweli kwa Africa?mko wapi mumsaidie?Africa mbona kimya hampeleki sapoti kwa Chinese?si mmesema ni mshirika thabiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunaposema kuwa super power ni jambo gumu sana watu hawaelewi.

mchina ametafutwa kwenye biashara-ameteleza.
kwenye migogoro amenasa,ingawa anacheza karata zake kwa utulivu aruke.
kwenye maradhi na majanga sidhani kama anaweza kuchomoka,kama huu ndio mwanzo.

kwa nchi za dunia ya kwanza(zilizopiga hatua sana)kusimamisha shughuli za uzalishaji kwa siku moja tu ni tatizo,achilia mbali mwezi.Mungu awasimamie ingawa hawamwamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Benki kuu imetoa Tril 400 kusaidia mzunguko wao wa kifedha na kununua madawa.

Huu ugonjwa ukiendelea kwa wiki ijayo China itaumia na dunia itaumia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
tril 400 uchumi wa nigeria kwa sasa.

au bajeti tosherezi ya tz kwa miaka 17.

au pesa walizotakiwa watulipe accacia,ili kila mtu apewe noa.

au pesa mara tatu,waliyoweka kwa ajiri ya kuzikopesha nchi za africa.

HAKIKA AFRICA NI SHIT HOLE.mbaya zaidi unakuta hii kwao wanaichukulia kama wewe unavyoichukulia pesa unayompa mtoto wa miaka 3 kwako akatoe sadaka kanisani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaaah ugonjwa ni kitu kibaya ndugu zangu haswa huo unaokula umati

Nchi haizalishi inakua busy kuhudumia mamilioni ya wagonjwa yaani unakua busy tu kupambana na ugonjwa

Yaani hadi nimeionea china huruma aisee yaani hadi inaomba support kwa umoja wa ulaya ambao ni mabeberu [emoji23] sio kitoto

Wanaosema china walitengeneza kwa ajili ya kuzuia maandamano ya hongkong swali jee kama walifanya hivyo walitengeneza bila kuwa na dawa?

Suala la korona linaumiza kichwa sana na huenda mabeberu wana mkono wana msemo wao wa "We put disaster into an opportunity"

Halafu tabia ya Wachina kula kila kitu mpaka visvyoliwa ni sababu maana huwezi kujua kulikua na aidha ugonjwa uliosambaa kwa popo i mean magonjwa ya mlipuko kwa wanyama na ndege mfano mafua ya ndege,kideri,kimeta,hiyo ni mifano kwa magonjwa ya mifugo nachomaanisha ni kuwa huenda popo au wanyama wengine walikua na mlipuko wa magonjwa unaondelea kimya kimya bila wao kujua wakaendelea kula ndo ikawa hivyo

Wengine wanashindwa kuiombea china kwa sababu ya madhila wanaowafanyia minorities people like Muslims na Christians japo wakristo hawajakumbwa na udhia kivilee huko china kama waislam ambao wamekumbwa na madhila wanayofanyiwa na wachina

Lakini mbali na hayo tuwaombee tu tusihesabu mabaya yao


Ziko wapi nchi za Africa, AU mko wapi mbona china ni mshirika wenu na ni muungaji mkono wa baadhi ya madikteta uchwara hapa Africa mbona kimya hamumsaidii china ambaye mnamsifia kwa kusema ni rafiki wa kweli kwa Africa?mko wapi mumsaidie?Africa mbona kimya hampeleki sapoti kwa Chinese?si mmesema ni mshirika thabiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wa kuwa na mawazo ya kipumbavu yaliyokosa ekima.unaona Raha wenzako wanavyokufa?.
Kwa akili zako unajua China ni Kama vile Burundi. Mizigo inakuja Kama kawaida kutoka China na maisha yanaendelea Kama kawaida. ni Mambo tu ya mpito yaliyowakuta wachina Wala sio mwisho wa Dunia kwao, na Kila unapopata changamoto mpya Basi na akili yako inazidi kukuwa.

matatizo ni sehemu ya maisha Wala usimcheke mtu kupata tatizo maana ujui wewe litakukuta Nini, linaweza kukukuta kubwa zaidi ya mwenzako. kikubwa kabla ujafanya chochote Kwanza fikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China na Japan ni wakombozi wetu ndani na nje ya Tanzania, naweza sema asilimia 90 tunatumia vifaa/bidhaa zao kuliko za mabeberu.

Na hilo janga huenda ni adhabu ya Allah dhidi ya waislamu wanavyofanyiwa. Allah awaondoshee maradhi hayo.
 
Daaaah ugonjwa ni kitu kibaya ndugu zangu haswa huo unaokula umati

Nchi haizalishi inakua busy kuhudumia mamilioni ya wagonjwa yaani unakua busy tu kupambana na ugonjwa

Yaani hadi nimeionea china huruma aisee yaani hadi inaomba support kwa umoja wa ulaya ambao ni mabeberu [emoji23] sio kitoto

Wanaosema china walitengeneza kwa ajili ya kuzuia maandamano ya hongkong swali jee kama walifanya hivyo walitengeneza bila kuwa na dawa?

Suala la korona linaumiza kichwa sana na huenda mabeberu wana mkono wana msemo wao wa "We put disaster into an opportunity"

Halafu tabia ya Wachina kula kila kitu mpaka visvyoliwa ni sababu maana huwezi kujua kulikua na aidha ugonjwa uliosambaa kwa popo i mean magonjwa ya mlipuko kwa wanyama na ndege mfano mafua ya ndege,kideri,kimeta,hiyo ni mifano kwa magonjwa ya mifugo nachomaanisha ni kuwa huenda popo au wanyama wengine walikua na mlipuko wa magonjwa unaondelea kimya kimya bila wao kujua wakaendelea kula ndo ikawa hivyo

Wengine wanashindwa kuiombea china kwa sababu ya madhila wanaowafanyia minorities people like Muslims na Christians japo wakristo hawajakumbwa na udhia kivilee huko china kama waislam ambao wamekumbwa na madhila wanayofanyiwa na wachina

Lakini mbali na hayo tuwaombee tu tusihesabu mabaya yao


Ziko wapi nchi za Africa, AU mko wapi mbona china ni mshirika wenu na ni muungaji mkono wa baadhi ya madikteta uchwara hapa Africa mbona kimya hamumsaidii china ambaye mnamsifia kwa kusema ni rafiki wa kweli kwa Africa?mko wapi mumsaidie?Africa mbona kimya hampeleki sapoti kwa Chinese?si mmesema ni mshirika thabiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tubebe Waganga wote wa Africa kuanzia Nigeria, Ghana, Cameron, Tanzania na South Africa waende na hirizi zao wakatibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom