Let's chat

najua tunachat ila naomba uzingatie nilicho kuambia.

wee unatakiwa uwakubalie vijana wanaokutongoza hao ndio watakuoa japo vitu unavyo tamañi hawana Bado ila jua hata hao wazee unaodat Nao hivyo vitu wamevipata nafamilia zao tayali
Unateseka ukiwa wapi😂😂😂😂...kunywa maji baridi😃😃
 
niña miaka 37 Niko kwenye ndoa na wake 3 niña maisha Safi yakulisha na kutunza hata warembo mía.

SEMA dini yangu inaruhusu wake wanne tuu karibu ufunge ukurasa bibie.
Asa kama hivyo si bora nibaki nilipo niendelee kumsubiri wangu🤗🤗
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…