Ndio yakoje? ,ila mie ni msomaji tu ,ndugu muandishiWewe haujawahi kuwa na mahusiano yasio sahihi?
Bado hujakutana na unaempenda mkuuKuna mimi mahusiano siyazingatiii kbs! Sitaki kuumiza sitaki kuumiza, kikubwa nakua na marafiki wengi wa kike atakaejichanganya ataniondolea upwiru
Kumbe.... mi sijui sina uzoefuπHuu ni ukatili π
π€£π€£π€£π€£ππππ
Nimekuja
Muda muafaka wa kunipa lile somo tichaππππ
Nimekuja
Mbona kujichanganya π€£π€£Kuna mimi mahusiano siyazingatiii kbs! Sitaki kuumiza sitaki kuumiza, kikubwa nakua na marafiki wengi wa kike atakaejichanganya ataniondolea upwiru
Ushatimba tayariπππ€£π€£π€£π€£π