God is Dead
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,313
- 1,529
Baada ya kujitunuku shahada ya uzamivu, ni muda Sasa wa kuhakikisha ninatumia elimu yangu katika kuhakikisha ninawanufaisha wanyama wa hili pori, ambapo ndio asili ya mnyama mtu baada ya kuzaliwa na dunia...
Mnyama mtu anasumbuliwa na maswali kadha wa kadha ambayo yamekuwa hayana majibu, na Mimi nitajitoa katika kuhakikisha ninamsaidia mnyama mtu katika hili, ili aweze kujipunguzia sifa ya ujinga...
Hivyo basi kama Kuna mnyama mtu mwenye swali lolote linalohusu Imani, historia, sayansi na lugha, wanayozungumza wanyama Kwa ujumla niseme nitakuwa mstari wa mbele katika kusaidia kujibu haya maswali magumu Kwa njia nyepesi inayoeleweka ..
God, Christ, human animal science, philosophy, psychology, philology etc...
Karibu mnyama mtu, ili tujipunguzie ujinga,
Lengo ni kuhakikisha mnyama mtu anaacha kuzika kichwa chake kwenye mchanga wa miungu na malaika Bali awe na kichwa Cha dunia, kichwa kitakachompa maana katika dunia, na aachane na maigizo ya kujificha kwenye mawingu...
Mfano
Mungu ni neno lenye maana gani?
Ni nani alisababisha neno Mungu likafa na kupoteza maana?
Let's create new values human animal, old values don't work anymore,
Ahsante