Lete bia

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Eti jamaa kaingia bar na mkwara...
JAMAA:Lete bia moja na kila mmoja bia yake, maana nikinywa nataka kila m2 awe anakunywa..
WATU😀Uuuh..muhudumu akaleta
JAMAA:Lete mchemsho hapa na kila mmoja mpe mchemsho maana mm nikila nataka kila m2 awe anakula..
WATU:eèeh..makofi jaman..muhudumu akaleta...
JAMAA:Lete bili yangu na kila mmoja bili yake, maana wakat nalipa nataka nimuone kila mtu analipa..!
 
hhaaa hhaaa. thanx though tayari kuna hiyo thread humu ndani ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…