private issue kivip? nyie ni mwili mmoja! kwani mkiachana au kutalikiana si unaweza kureset codes?mimi naona kuweka zuio kaika hilo kunaendana na KUTOJIAMINI, KUTOKUWA MWAMINIFU NA UMALAYA.kama amewahi kuwa na mtoto nje kabla ya mahusiano ya sasa unataka akuambie, kama ana tatizo lolotela kiafya wataka awe amekueleza kabla, ila linapokuja suala la mawasiliano na fedha mnataka ukomo.kuhusu ATM codes; mnaficha za nini wakati wengi wenu ni za kupitishia mishahara tu. hamweki akiba. a/c no #nyingi muda mwingi zinasoma 20,000/=. sasa mnaficha nn?
Wengi wana vitu viwili viwili,kimoja anashear na mwenzawake, kengine anaficha ni siri yake binafsi.
ATM kadi anaonyesha moja, jua anaingine huijui.
Vivo hivo kwa email.
Huwezi shear kila siri, hata kama ni mkeo. Watu wanabadilika sababu ya tamaa