Hahahahaaaaa! Kuna two senarios hapo! 1. Binafsi sishei NEITHER OF THE ABOVE! Hataaa kwa LIMBWATA! Tena NAKANUSHA VIKALI UMILIKI WA HIVO VITU! KATU KATU! Simu yangu ya TOCHI, Code za nini,(Hiyo ndo nayomuonesha, ILI ANINUNULIE NZURI ATIII! Ukimuonesha I PHONE 5S hachelewi kukukopa au kugoma kulipia bili) ATM namuonesha ya NBC STUDENT ACC ya toka chuo,(Ukimuonesha ya STANBINC hakawii kumuomba rafiki yake achungulie balance! Na utapigwa mizinga mpaka unyeeee!) Email nampa ya kazini, aone bosi anavonituka kwa kuchelewesha kila kazi. Hahahaaaa! SCENARIO 2. Yeye lazima ajisalimishe kwa kuonesha vyote hivo, lasivo MIZINGA NDO INAZIDI KUWA MIKUBWA. Na assume kuwa viko LOADED ndo maana anaficha. Hahahaaaa! All im saying ni kuwa MCHUMBA, BUZI, BWANA wote hao sio MUME, hivo bora kuwa makini nao sana, sababu hivo vitu VINA INFLUENCE sana kwenye uhusiano.