let people die for the wrong they did

Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,819
1,185
Habari wana JF!
Katika maisha yetu ya leo v
ijana tumekuwa tukishauriwa sana kuachana na MAPENZI kwani madhara yake yamekuwa makubwa sana( i mean the time will come for love)...Mfano Halisi kuna Mtoto wa Jirani yetu (msichana) ambaye alipuuza masomo na kuona anachelewa kufaidi mapenzi, hatimaye sasa HANA MBELE WALA NYUMA..Anaanza BORA NINGESOMA. Please let us change before life change us.MAPENZI YAPO, WAREMBO NA MA HB WAPO KIBAO TENA SIYO SECOND HAND...KAMA VIPI JIPANGEE.....

Hutaki..refer heading above..let the people die for the wrong they did......
 
watoto mna haraka ya nini!acheni kula vya wakubwa muda wenu bado mtashindwa kukua!Hivi sie wazazi wenu tungewapa mle nyama siku mlipozaliwa mngekuwapo leo?
 
Mimi nadhani usiri wa wazazi na walezi kwa watoto unachangia sana. Kama mtoto amekuwa akikosa mwongo katika mambo yake kutoka kwa wazazi lazima atakuwa anatafuta mwongozo kutoka popote kwa swala lolote likiwemo la mapenzi.

Kama wazazi tunafanya hayo mambo mbele ya watoto, tusitegemee majibu tofauti toka kwa watoto.

Mimi nasema sailimia kubwa ya yanayowakuta watoto ni matokeo ya walivyo wazazi na walezi
 
Nakubaliana na salosalo kiasi nikiongeza na mtoto umleavyo ndivyo akuavyo..........but in our life PREVENTION IS BETTER THAN CURE, kiswahili kinga bora kuliko tiba....fikiri kabla ya kutenda
 
Back
Top Bottom