mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
- Thread starter
- #21
ipi sasa, turiyorekebisha?Fwaten katiba kwan hawezi kuwa mshauri baada ya kipindi chake kupita?
ipi sasa, turiyorekebisha?Fwaten katiba kwan hawezi kuwa mshauri baada ya kipindi chake kupita?
Forbes. /twawezaMuhimu kukumbuka tu ni kwamba watu wa Rwanda wanasemaje juu ya Raisi Kagame.
Hata kama watafanya kura ya maoni kumruhusu kugombania awamu ya tatu basi uchaguzi ni lazima uwe huru na haki ili kuruhusu watu kutimiza haki yao ya kikatiba ya kushiriki katika siasa za nchi: Kwasababu naamini siyo wote wanaomkubali Raisi Kagame na kama hata fanya hivyo basi kutakuwa na minong'ono isiyo na msingi.
Mwisho wake heshima ya katiba, mahakama na utawala wa kisheria hupotea kwenye macho na masikio ya watu: Ni lazima haya yafanywe ili kujenga Rwanda yenu thabiti.
na hilo ndio tatizo lako... KUKURUPUKA! sasa hebu niambie Nkurunziza abaki anafanya nini? miaka kumi aliyoongoza, amefanikiwa kuirudisha nchi nyuma miaka 20 sasa utafananishaje hao viumbe wawili kama kweli unaakili timamu, BTW ulishaona maandano nchini Rwanda yanayopelekea mauwaji ya raia kama Burundi? kajipange urudi...Huwa nafurahi kweli jinsi anavyochangia. Unakuta anampinga Nkuruzinza kwa kubaki madarakani halafu anamkubali Kagame aendelee kuongoza Rwanda!
Forbes. /twaweza
Yes we do
Umeona mkuu jamaa fikra zake zina makengezaHuwa nafurahi kweli jinsi anavyochangia. Unakuta anampinga Nkuruzinza kwa kubaki madarakani halafu anamkubali Kagame aendelee kuongoza Rwanda!
Mtazamo wako unamakengezana hilo ndio tatizo lako... KUKURUPUKA! sasa hebu niambie Nkurunziza abaki anafanya nini? miaka kumi aliyoongoza, amefanikiwa kuirudisha nchi nyuma miaka 20 sasa utafananishaje hao viumbe wawili kama kweli unaakili timamu, BTW ulishaona maandano nchini Rwanda yanayopelekea mauwaji ya raia kama Burundi? kajipange urudi...
Ina maana katika Rwanda yote yeye ndo mwenye uwezo kuliko watu wote wa Rwanda?. Kama ni hivyo basi poleni sana ndugu zetu wanyarwanda!
Surely he can have a third term as long as the General Will demands. (Sovereignty of the Rwandan people)
But the process should be under a very tight scrutiny, public opinion matters a lot and its a basic tenet of any world class constitution. The People, The Parliament, The Judiciary, The Press and The opposition must be consulted because in such circumstances their views avail much. A good analogy of this was President Roosevelt's bid for the third term in the Oval Office, it was unconstitutional but gained much of legitimacy from the American General Public.
So Hell Yeah to President Kagame if the Rwandan public gives a NOD to his bidding.
At least someone who speaks my language. Dear friend, your notion on constitutional limit is not in dispute. Any modern society is way beyond the periphery of "good guys" or a Max Weber puts it " the spirit of charismatic leadership" ; henceforth any civilized nation ought to be ruled by established corporate institutions.Nice words indeed, but you better give credit to the greats who decided on fixed terms in democratic systems - even in the US. They saw "reality" beyond "nice guys". in our particular environment, you certainly don't tell me that should the likes of Kagame or Magufuli decide to run for office for the third or even tenth term, rejection through "due democratic process" is a possibility.
Sasa hivi hapa Africa tunataka viongozi aina ya Rais Kagame watawalee kwa vipindi vyovyote kwani tumechoka na hii Demokrasia ya kubadilisha marais halafu tunapata viongozi corrupt.
Hata Rais Magufuli akiendelea na hii style yake ya uongozi hatuna haja ya kuwa na kiongozi mwingine.
Hawa wazungu wanapenda sana sisi waafrika tutawaliwe na viongozi corrupt kwa kupitia Demokrasia.
Mpuuzeni huyo mpuuzi mchambawima1, anachokijua ni fitna tu na kuua wahutu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] naona umejidhatiti kweli kweli! Hivi Kagame huwa anakupa nini? vyuma njoo umsikilize huyu mchambawima1
Demokrasia gani mnayoifuata ninyi? Acha kudanganya watu,paka alilazimisha watu wampigie kura ya kumruhusu kugombea muhura wa tatu. Mlituma polisi wenu na wanajeshi kuwatisha RAIA ili wakubali,mliwashikia hadi bunduki na yeyote aliyeonekana mpinzani wa muhura wa tatu mlimuua.Exactly! and that is what we always do, maoni ya wananchi ni muhimu siku zote... kinachoniuma mimi ni pale baadhi ya watu mlioko huko nje kutotuamini au kutuona kama vile matahira wasioona mazuri tuliyo fikia kutokana na uongozi wa Mheshimiwa Paul Kagame... kunawakati huwa hata najiuliza hivi kuna ufanisi mwingine zaidi ya huu tunaoshuhudia hapa Rwanda... kinachonisisimua zaidi ni pale wakosa adabu ndani yetu wanavyodhibitiwa, wacha niachie hapo kwani nikiongelea ubora wake hapata tosha hapa...
Huyo ni wa kumpuuza mkuu, hana maana hata kidogo yeye mtutsi kwanza mengine baadae. Anampinga Nkurunziza kwa sababu ya uhutu wake,anamsapoti paka kwa sababu ya ututsi wake. Lakini kwa Burundi wameshaacha kuleta fyokofyoko maana paka na washirika wake kina Pierre Buyoya,Alexis Sinduhije na Hussein Radjabu wamedhibitiwa vya kutosha.Huwa nafurahi kweli jinsi anavyochangia. Unakuta anampinga Nkuruzinza kwa kubaki madarakani halafu anamkubali Kagame aendelee kuongoza Rwanda!
Demokrasia gani mnayoifuata ninyi? Acha kudanganya watu,paka alilazimisha watu wampigie kura ya kumruhusu kugombea muhura wa tatu. Mlituma polisi wenu na wanajeshi kuwatisha RAIA ili wakubali,mliwashikia hadi bunduki na yeyote aliyeonekana mpinzani wa muhura wa tatu mlimuua.
Mkuu ninachokisema hapa ni kweli tupu,sijawahi kudanganya. Nimekaa Rwanda miaka mitano hata paka alipoitisha ile Reverendum I was in Rwanda. Walichokifanya maafisa wa polisi na jeshi ni kuwalazimisha watu kukubali muhura wa tatu wa paka tena kwa mtutu. Hayo maigizo anayoyafanya paka&co ni mbembwe tu. Kwa mazingira ya Rwanda na Burundi mtutsi hawezi kutawala kwa njia ya kidemikrasia, maana ukimsimamisha muhutu dhidi ya mtutsi kwenye uchaguzi expect no Tutsi will be elected kwanza kwa uhasama uliopo pili kwa uwingi wa wahutu dhidi ya watutsi.Mkuu kweli walifanya hivyo?
Duuuh basi amekosea sanaaaa.
Mkuu kweli walifanya hivyo?
Duuuh basi amekosea sanaaaa.