Vyombo vyoote vya habari nchini na dunia jana na leo vimetawaliwa na habari ya kifo, kifo cha mtu ambaye pengine wengi hawakuwa wakimfahamu hapo kabla, hakuwa maarufu sana, lakini alikuwa muhimu sana, wapo watu kadhaa wanaweza kuwa wanafurahia ubunifu wake katika maisha yao ya kila siku lakini hawajui ni nani aliye nyuma ya kifaa hicho watumiacho, ni kawaida kabisa, lakini wapo watu na pengine walio wadadisi walikuwa wanamfahamu.
Historia ya maisha yake na mafanikio aliyoyapata ndio hasa yaliyonisukuma kuandika kidogo kile nilichojifunza toka kwake, mfano
Historia yako haina uhusiano na mafanikio yako maishani,
kwamba, wazazi wako, utajiri au umasikini wao hauna uhusiano wowote na mafanikio yako,
The Guy new that "THOUGHTS ARE THINGS" and practiced it very well no matter what experts or other gurus may think or say about any idea he has, he still went for it and succeed in whatever he THOUGHT POSSIBLE, its true that our dominating thoughts have a huge impact of what we will be in future, nimepata somo kuubwa sana kutoka kwa huyu Mtaalamu.
The question is WHAT ARE YOUR DOMINATING THOUGHTS NOW?