Lesotho usiku huu baridi Kali sub zero

Baridi la leo limenifanya nisilale. Nikipata pesa nahamia kwenye nyumba yenye aluminum.
 
Arusha na Moshi usiku wa kuamkia Leo ilikuwa balaa, Baridi ilikuwa Kali Hadi nkashindwa kulala
 
Nipo zangu hotelini hapa antananalivo Madagascar navuta uradi
 

Attachments

  • 20250708_075901.jpg
    1.2 MB · Views: 10
Dah......mm nimeshangaa Leo , Dar kuwa na baridi kama la mkoani
Acha porojo, dar kuna baridi gani na wewe.

Baridi unajifunika shuka na haipenyi huku madirisha ni ya wavu na ya ko wazi bila hata pazia 😂😂.

Nenda Mbeya, Moshi, Arusha au Makete uone kama hilo shuka litafanya kajambo ndio useme baridi ni kama la mkoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…