LESENI ZA UDEREVA TRA NI WAZEMBE.

LESENI ZA UDEREVA TRA NI WAZEMBE.

Kikiwa kipya piga copy itatoka clear then kilaminate sababu matumizi yake ni kwenye gari basi kiweke kwenye glove box huna haja ya kutembea nacho, ukipigwa mkono unawatolea watajiongeza wenyewe!..
Usisahau laminate na copy ya expired card kuna wale wanoko wataokuomba ya zamani!..
Baada ya hapo fanya mambo yako, siku moja wenyewe TRA watakumiss utaona sms yao!.
Kwani ukienda kurenew unaacha ile leseni ya zamani? Mi nimeenda kurenew kama mwezi sasa umepita nikapewa hiyo risiti na nikaondoka na leseni yangu ya zamani, wakaniambia watanitumia sms leseni mpya ikiwa tayari, ingawa mpaka sasa ni kimya. Ila leseni yangu ilikuwa na miezi 11 tangu ilivyoexpire.
 
Hauachi lakini sababu imepita muda wake unaweza iacha nyumbani na kama emergency basi utembee na copy yake!.
 
Waliwahi nikamata na hiyo risiti na hawakuelewa
Ulikuwa na wenge wakajua wamekupata!.. Ukikaza hawana ujanja hata Mkuu wa Trafiki Tz alilitolea ufafanuzi hawatakiwi kukukamata!!..
 
Usitake tuvunje sheria, tueleze kifungu cha sheria kinachoruhusu karatasi ya malipo kuwa mbadala wa leseni ili nasi tukitumie.
Neno langu sio sheria lakini fuatiria Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani alisemaje kuhusu hili!..
 
Kikiwa kipya piga copy itatoka clear then kilaminate sababu matumizi yake ni kwenye gari basi kiweke kwenye glove box huna haja ya kutembea nacho, ukipigwa mkono unawatolea watajiongeza wenyewe!..
Usisahau laminate na copy ya expired card kuna wale wanoko wataokuomba ya zamani!..
Baada ya hapo fanya mambo yako, siku moja wenyewe TRA watakumiss utaona sms yao!.
Kama una magari matatu inakulazimu kutoa copy 3. Dah!
 
Mkuu mpaka leo hii huna ID ya Kupiga kura au ya NIDA?.. Mbona vyote hivi matumizi yake ni aina moja tu!.
Ingawa kwa madereva waomba ajira kweli ni changamoto ila kwa watu wengine card ya Leseni ya Udereva haina maana sana!.
Poleni lakini!.
Kwani NIDA wanatoa vitambulisho? Mimi sijapewa kwa zaidi ya miezi 18!
 
Lipo tatizo sugu la upewaji wa leseni za udereva kwa kisingizio cha uhaba wa kadi! Mimi binafsi muda wa leseni yangu kuisha ni mwezi wa sita, mwezi wa tatu nilikwenda TRA kulipia muendelezo wa leseni yangu nikaambiwa nitaipata baada ya wiki mbili, hata hivyo niliongeza zangu hivyo mwezi huu wa nne nikaenda TRA nikijua nitapata leseni yangu, hola! Niliambiwa nirudi baada ya wiki mbili kama watanijulisha kupitia ujumbe wa simu yangu! Nina mashaka kama TRA wanajua umuhimu wa leseni za udereva, inaelekea kwako kutupa leseni hizo ni hisani si lazima. Idadi ya madereva ni ndogo sana sana ni uzembe uliotukuka wanaposhindwa kuwa na kadi za kutosha.
Wewe komaa na risiti ya malipo tuu, hiyo ni leseni tosha. mimi mwezi wa nane sasa natumia risiti na leseni iliyo expire.
 
Me navyojua leseni ikiisha ukailipia basi ile risiti ya malipo ukiipiga copy unaweza tembea nayo hata miaka bila hiyo leseni yao!. Au wenzetu mnamiliki leseni kama kitambulisho!?..
We walipe baki na risiti yako watapojisikia kukuita ufate card utafata!.
Hivyo ndio nilivyofanya baada ya kuona walio renew kabla yangu usumbufu wanaopata.Nililipia mwezi wa 7 mwaka Jana nikapata leseni mwz wa 12 mwishoni KBS tena baada ya wao kunipigia simu kuwa iko tayari.
 
Back
Top Bottom