Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Mnazi Bay
JUMLA ya leseni 26 zimetolewa kwa kampuni 18 zinazojishughulisha na utafiti wa mafuta na gesi asilia katika vitalu mbalimbali nchini Tanzania tangu mwaka 2001 hadi Julai 2014, FikraPevu inaripoti.
Kumbukumbu zilizopo zinaonyesha kwamba, leseni 23 kati ya hizo ni za utafiti wakati leseni tatu ni za uendelezaji.
Aidha, leseni nyingine 22 bado hazijatolewa ....
Soma zaidi hapa=> Leseni 26 zilizotolewa kwa kampuni 18 za utafiti wa mafuta na gesi nchini Tanzania hizi hapa! | Fikra Pevu