Nakumbuka wimbo huu nilipokuwa mdogo sikuufatilia sana sasa nimekuwa DAD duh,zilipendwa hizi nazipenda sana sasa hivi, je hawa jamaa wa les wanyika bado wapo? Na huu wimbo uliimbwa lini? Nakumbuka kuna mnigeria mmoja huku majuu alinimbia wimbo wote, nikashangaa aliujuaje? Kwa kweli bongo enzi zile tulikuwa na waimbaji, sina ubaya na bongo fleva, lakini tutakubaliana originality ya music hasa hapa bongo imepungua sana.