Tunashukuru kwa Ziara ya ghafla ya Mheshimiwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri mkuu, ajira, kazi na vijana Antony Mvunde, jana tarehe 5/1/16 katika ofisi ya leopard tours ltd ya jijini Arusha ( kama ilivyo tolewa na gazeti la Nipashe Na. 0578721 na Gazeti la habari leo Na. 03305 ). Utaona jinsi mheshiwa Naibu Waziri alivyo iagiza kampuni ya Leopard Tours ifanye ili idhibitishe walichokisema kuwa leopard tours inawalipa wafanyakazi wake kati ya Shs.150,000 na shs 300,000. Kwa mwezi.
Ndugu watanzania wenzetu haya mambo ambayo Leopard tours imeyasema kwa Mheshimiwa ni ya uongo kabisa na tuna kwenda kuyadhibitisha hapa chini muone jinsi Waziri wetu amedanganywa, mi nadhani Mr Fazal anadhanishia kuwa hii serikali ni sawa na zile za nyuma ambazo alikuwa anasema kuwa ziko mikononi mwake.
1. Leopard Tours imesema kuwa inawalipa mishahara wafanyakazi wake kati ya shs.150,000 na 300,000. Hii sio kweli kabisa tunaweza kudhibitisha hilo kwa sababu sisi guides tunalipwa kati ya Dola 500 na Dola 1000 kwa mwezi, ingawaje mwanzoni ilikuwa baadhi ni DOLA 400, tunaambatanisha vielelezo baadhi muone mkataba wa ajira wa mmoja wetu ulivyo kisha mlinganishe na walicho kisema Leopard tours kwa Waziri muone jinsi anavyo cheza na serikali yetu.
Sasa tumewatumia ushahidi mikataba muone alivyo kuwa anasainisha watu shs 150,000 na hapo hapo anamlipa mtu DOLA 500, na mkataba mtauona.
2. Leopard Tours wanasema kuwa Mr Mbaga chief accountant analipwa shs.500,000! Hii ni ajabu kwa sababu kama Derava tu analipwa DOLA kati ya 500 na 1000 , je boss wake ambae ni Mr Mbaga atalipwa shs ngapi!? Mjue kuwa huyu leopard tours anavyo cheza na serikali, au na hii serikali ya awamu ya tano nayo keshaiweka mikononi mwake Kama zilivyokuwa serikali zilizopita? .( ila ashindwi si ana pesa)
Ndugu watanzania tumefanya kazi zaidi ya miaka kumi leopard na hakuna asiyejua mshahara wa Mr Mbaga maana wote mshahara tunauchukulia mahali moja kwenye dirisha maalumu leopard tours na unasaini so tunajuana vizuri mishahara yetu, kwa ufupi Mr Mbaga analipwa DOLA ZA KIMAREKANI 4000. $ kwa mwezi. Huo ndio ukweli halisi na ndo maana anadiriki kumdanganya Waziri maana ukweli anajua na ndo maana alitetemeka alipokuwa anaulizwa maswali.(walio kuwepo mliona)
Mkitaka kuamini kuwa madereva wanalipwa shs ngapi fuatilieni katika kesi ambayo baadhi ya madereva walimfungulia leopard katika idara ya kazi a). KESI ya HONESTY KESSY NA WENZAKE 2 vs LEOPARD TOURS : CMA/ARS/ARB/44/2015 (b). Kesi ya Hashimu na Humud Magoma vs leopard tours CMA/ARS/ARB/76/2015 c).kesi nyingine na 78 ya 2015, zote hizi utaona kuwa Mheshimiwa Hakimu aliwaitisha leopard tours mikataba original ya kazi ya wafanyakazi wake wakaileta mahakamani jamani hii ni baadhi tu ya ushahidi tulionao ambao unadhibitisha tunalipwa kuanzia DOLA 500 kwenda juNa
Na pia Mr Mbaga amemwambia Mheshimiwa Waziri kuwa katika kampuni ya leopard tours hakuna HR(human resource ) Waziri alishangaa,ila watanzania tunao ushahidi kuwa katika kesi ya Honesty Kessy na wenzake 2 vs Leopard tours CMA/ARS/ARB/44/2015 mtaona Yeye mwenyewe Mr Mbaga alivyo kuja kutoa ushahidi tena Kwa kiapo mahakamani kuwa yeye ndiye HR wa kampuni ya leopard, sasa jamani mzee Mbaga umeshasahau au ni uzee umezidi? Na pia katika barua ya mojawapo wa wafanyakazi wanaodai mishahara yao tangia mwezi wa 12/2014 hadi sasa mtaiona nayo tumeambatanisha pia muone dada anayeitwa Ms Zitta Lumato alivyo jitaja kama HR WA KAMPUNI ya leopard sasa hapo kwa nini Mr Mbaga anamdanganya Mheshimiwa? Jamani ubabe una mwisho hii sio serikali ya kuiweka mikononi kama mlivyo zoea miaka ya nyuma.
3. Leopard Tours amekuwa akitusainisha karatasi za shs. 150,000/- na huku anatulipa kati ya Dola 500 na Dola 1000. Kisha hata hizo alizotusainisha alikuwa hapeleki Nssf zetu ajabu! Na ndo maana ukifuatilia wale madereva aliowafukuza zaidi ya madereva 40 mwaka juzi 2014 na ambao walikwisha fanya kazi leopard kwa muda wa miaka 20 wengi walio enda NSSF walikuta shs kati 600,000 na 1,000,000 tu katika miaka 20 ya kufanya kazi kwa Leopard tours, hao wazee tunao wapo kwa ajili ya ushahidi. Sasa jiulize unalipwa Dola 500 kwa mwezi na umefanya kazi leopard tours miaka ya 10 kisha unafukuzwa na unapoenda nssf unaambiwa una laki 6 tu ! Hii ni sawa? Kwa miaka 10? Tulipo enda NSSF TULIAMBIWA kuwa jamani tajiri yenu ni mkorofi sana hakuna wa kushindana nae shukuruni Mungu hata kwa hicho kidogo mlicho Kipata !!! Huyo ni mtu aliye ajiriwa na serikali.
4. Siku ambayo Mheshimiwa Naibu Waziri alipotembelea Leopard tours ofice arusha, quality control manager ambaye anaitwa LINDA CHINGWENEMBE huyu mama ni mmalawi na amefanya kazi leopard tours muda Mrefu sana bila working permit na ndo maana Mheshimiwa alipovamia ofisi ya leopard alikuwepo juu ghorofani akajificha vyumbani huko huko juu hakutaka aonekane maana alipojua watu wa migration nao wapo, mshahara wa huyu mama ambaye ni quality control wa Leopard tours ni DOLA 3,000. Kwa mwezi.
Pia kulikuwepo na dada mwingine ambaye anaitwa AIDA DIAWARA huyu nae ndo General manager wa kampuni ambaye ni msenegal aliyechanganyika na mfaransa, huyu analipwa DOLA 5000 kwa mwezi pia amepewa nyumba ya kuishi hapo hapo leopard tours ghorofani, ambapo anaishi na familia yake na watoto w2 ambao kampuni ya leopard tours inawalipia watoto wake shule St. Constantine Arusha. Huyu analipwa ghali sana kwa sababu ndiye ambaye anasafiri na Mr fazal Ulaya maana anaongea kifaransa na kwa sababu alishaishi Ulaya. Leo hii huyu dada katangaza kuacha kazi na anaweza kuondoka nchini ndani ya wiki hii hivyo kama kuna mtu atamuhitaji basi wamblock watapata ukweli tunao uzungumza.
5. Pia kuna workshop manager Mr Regi huyu ni mshelisheli anayelipwa DOLA 4000 kwa mwezi na amepangishiwa nyumba njiro PPF ambapo wanae anasomeshewa bure kabisa tunaomba serikali yetu ilifuatilie ita gundua kuwa tunachokiongea ni cha kweli
6. Wakati Mr Fazal alipogundua kuwa Waziri yupo head office aliwaamrisha walinzi wa workshop wajifiche, maana hawa ni walinzi WANEPOLI ambao Mr Fazal aliwaleta kwa ajili ya ulinzi na wanalipiwa nyumba ya kulala, kwa mwezi wanalipwa DOLA 1,500, kazi yao ni kufungua geti tu na kufunga ila wanalipwa hiyo pesa yote! Pia WAMEPEWA nyumba bure hapo hapo workshop, na ili muone jinsi huyu Mr Fazal alivyo mtaalamu wa kuikosesha serikali Mapato hawana hata kibali cha kufanya kazi nchini ndo maana tangia jana hawajaonekana tena getini bali wanaonekana wakitoka kwenda supermarket na kurudi habari zisizo rasmi ni kwamba anataka kuwatorosha warudi kwao kukwepa mkono wa serikali.
7. CHA KUSIKITISHA ni kwamba wakati Mheshimiwa Naibu Waziri alipo kuwa ofisini leopard tours alimuita mr Fazal mwenye Leopard tours akagoma kuja kumwona, cha ajabu jana mr Fazal alipo fika tu ofisini AKAANZA kuongea kwa sauti mbele ya wafanyakazi pale ofisini, na kusema NASIKIA NAIBU WAZIRI ALIKUJA HAPA JANA ! ANA BAHATI SANA SIKUWEPO NA SIKUMKUTA OFISINI KWANGU NINGEMPIGA MAKOFI ANABAHATI SANA HUYU MSHENZI ETI HUYU BWANA MDOGO ANANIITA MIMI HAJAAMBIWA MIMI(fazal) NI NANI? MJINGA KABISA ANA BAHATI SANA SIKUMKUTA ANGEIPATA FRESH AMUULIZE MWENZAKE NILIVYO MFANYA, ETI ANANIITA NIRUDI OFISINI HAJUI YEYE NI MTU MDOGO SANA NA MI SIONGEAGI NA WATU WADOGO KAMA YEYE NAONGEA NA BOSS WAKE TENA SIMFUATI OFISINI KWAKE YEYE ANATAKIWA KUNIFUATA MIMI(Fazal) OFISINI KWANGU PUMBAVU KABISA. KWANZA NIANDALIENI FUNGU LA HAO WAANDISHI WA HABARI KUHAKIKISHA KUWA HAWAZIRUSHI HIZI HABARI,PIA NA HUYO WAZIRI ANDAENI FUNGU LAKE MAANA NI NJAA TU ZIMEMLETA OFISINI KWANGU, Haya ni maneno aliyaongea Mr Fazal jana alipo kuja ofisini, kusema kweli hii hatukuipenda maana imetukumbusha mwaka jana na juzi alivyo kuwa akitutukana kuwa akili zetu ziko kwenye makalio yetu ndo maana tulizaliwa weusi, na pia akawa na tabia ya kutuambia kuwa haogopi mtu yoyote na wala haogopi serikali kwa sababu serikali yote iko mikononi mwake, na pia mara nyingi tumekuwa tuki jaribu kufuatilia haki zetu na tulipo enda mahakamani katika idara ya kazi, Mr Fazal amekuwa akisema kuwa hakuna anayeweza kupambana na yeye,hakuna mahakama inayoweza kushindana na yeye kama hamwamini endeleeni na kesi mtaona nitawashinda na kuwashitaki na kuwa funga, ndugu zetu kusema kweli tume yaona na ndo maana kesi zetu zaidi ya mwezi mmoja ziko kwenye hukumu katika mahakama ya kazi Arusha na hakuna Hakimu amedhubutu kutoa hukumu na sisi tu naamini kuwa hili ni shinikizo la leopard tours maana alishatutangazia kabla,AMA kweli leopard ni shidaa.
8. WAANDISHI WA HABARI
Mheshimiwa alipokuwa katika ofisi ya leopard tours aliambatana na WAANDISHI wa habari, cha kushangaza au kusikitisha baada ya Mheshimiwa kuondoka, KATIKA WAANDISHI WANNE WALIOKUJA LEOPARD, KWA SABABU ALISHASEMA AANDALIWE FUNGU NA ATATOA MILIONI 20 kuhakikisha hizi habari hazitangazwi popote, wa
Inaonekana baadhi ya WAANDISHI pale ofisini kwake kama jinsi leopard alivyo kuwa ameropoka mbele ya watu wote kuwa atawaita WAANDISHI wa habari tena viongozi wao waliokuja ili awape fungu, tumeambatanisha picha mtaziona za hao waandishi ambao jana 6/1/16 waliitwa leopard tours na kupokea fungu Lao na inasadikika kuwa amewapatia shs milioni 20 WAANDISHI 3 ambapo katika hao tumefuatilia ni mwandishi mmoja tu tumeona habari zake katika gazeti, ila kutokana na hichi kitendo cha tulipopigiwa simu kuwa wale WAANDISHI wamerudi tena leopard mara moja tulimtafuta mwandishi mojawapo tuliyekuwa na namba zake za simu ya mkononi ili tujue ni kwanini wameamua kwenda kuchukua pesa kwa mr fazal na kupotosha umma Kwa kutokuwaandikia kilicho jiri, tulipompigia dada Veronica, na kumhoji ni kwa nini wameenda hapo ndipo alipo tuambia kuwa hakuenda leopard tours, bali alikuwa mjini kwa shughuli tofauti, na ndipo alipoamua kuchukua usafiri haraka na kukimbilia Leopard Tours ofisini, alipofika getini alimuulizia mlinzi na kusema nimekuja maana WAANDISHI wenzangu wapo hapa kwenu, na Vero alifanya hivi ili kujua ni kina nani, kwa hiyo mlinzi alimjibu kuwa wamesha ondoka muda mfupi ulio pita, Vero wakati anasikitika maana hakujua ni kina nani hao ndipo vyanzo vyetu vya habari vikaturushia picha zao hao waandishi wa habari, wakiwa wamekaa ofisini reception leopard tours, tulipo zipata hizo picha tukamrushia Veronica mwandishi wa habari alipoziona ndipo alipo tambua ya kuwa ni wenzake, na alisikitika sana kuona waandishi wanashindwa kuwa wazalendo na kwenda kupokea Rushwa!!?
Hizo picha mtaziona hapo chini, ila hao waandishi wa habari walio pokea pesa toka kwa Fazal ni Mwandishi Seif Mangwangu 0754 460520, mwandishi Mchau 0754 371649, mwandishi Claud Gwandu 0754 299861. Hawa watatu ambapo cha kushangaza kabisa ni kwamba huyu Claud Gwandu ndio Mwenyekiti wa APC (Arusha Press Club ) na hii inaleta picha gani? Ni kwamba ameamua kuwahonga hawa viongozi ili kupofusha macho yao wasiweze kusema ukweli katika habari zao.
Cha kusikitisha hii imekuwa ni tabia ya Leopard Tours Arusha (Mr Fazal) kupofusha macho ya serikali, Mf magari ya polisi mengi hapa arusha yanatengenezewa katika garage ya leopard tours, magari ya serikali STJ pia tumeyashuhudia katika garage ya Leopard Tours, magari ya mkuu wa mkoa nayo pia hata.sasa kama magari ya wa kuu wa serikali yanatengenezewa leopard tours tena bure unadhani unaweza kudai Madai yako polisi au mahakamani ukapata haki? Na ndo maana yeye Mr Fazal anatabia ya kusema kuwa hakuna anaye weza kushindana nae maana serikali yote iko mikononi mwake, sasa angalieni Mf Leopard amekutenda jambo utaenda polisi gani!? Kama sio kutafuta kufungwa, sasa kama wiki hii kaonekana akimkemea mkuu wa mkoa una fikiria nini? Hii ni mbaya sana kulidhalilisha jeshi letu la polisi, ndo maana wakati mwingine polisi wanampigia salut mr Fazal hii inakera na hii inatudhihirishia kuwa leopard tours ana nguvu Sana na ndo maana anajiamini sana na kiburi.
9. Cha kushangaza katika kesi ambayo Mr fazal amewatengenezea madereva wake ya uizi wa milioni 800 hewa juzi ilivyo kuwa mahakamani tulishangazwa sana kuona mwanasheria wa serikali anatetea mtu anayeipotezea serikali Mapato hii ni ajabu, ingawaje hatukushangaa sana kwa sababu kila siku ya kesi Mr Fazal ameweka gari ya kumleta na kumrudisha mwanasheria wa serikali jina lake Tide Mangula, na pia tunawaambatanishia picha muone huyo dada baada ya kumaliza kesi juzi tarehe 6/1/16 alisubiriwa na Mr Mbaga wa Leopard Tours na kupelekwa alipokuwa anaenda, tulishindwa kuelewa huyu anamtetea Leopard Tours au serikali, jamani tuweni wazalendo

Last edited by a moderator: