Kwa wale wadau wa sanaa ya mapigano karibuni sn leopard ujifunze jinsi ya kujihami dhidi ya adui wa aina mbalimbali.
Ukiwa leopard utajifunza kuchezea fimbo & cheni, kisu & panga, technic zote za roba.
Pia, kwa wale wenye mili mikubwa karibu mutoe mafuta na kujifunza pia maana sanaa hii haichagui aina ya mwili yeyote anaweza kujifunza.
Ewe dada, kaka, baba njoo Njooni mujifunze, location ni Kinondonimuda ni saa moja hadi mbili na nusu Usiku, mwalim ana Dan 4 (4 degree of karate)
Kwa mawasiliano zaidi nicheki 0656444206
View attachment 1493735