Mwisho wa kituo chenu Makolokolo FC ni makundi, sana sana mkijiita IDI ni robo fainali.SIMBA inajiweza kujibeba haihitaji mbeleko ndio maana iko kimataifa zaidi
Hii inaitwa sizitaki mbichi hiziMwisho wa kituo chenu Makolokolo FC ni makundi, sana sana mkijiita IDI ni robo fainali.
Endeleeni kuwa wasindikizaji bora wa CAF
Mwisho wa kituo chenu Makolokolo FC ni makundi, sana sana mkijiita IDI ni robo fainali.
Endeleeni kuwa wasindikizaji bora wa CAF
Unasindikiza huku unapewa pesa,Mwisho wa kituo chenu Makolokolo FC ni makundi, sana sana mkijiita IDI ni robo fainali.
Endeleeni kuwa wasindikizaji bora wa CAF
Goli la Mkude dhidi ya Prison ni Mbeleko isiyo na mashiko.SIMBA inajiweza kujibeba haihitaji mbeleko ndio maana iko kimataifa zaidi
Yanga FC huwa hawataki kabisa kuwa wasindikizaji bora ila one day yes ni 1 kwa 1 makundi, robo fainali, nusu fainali, fainali yenyewe na kuchukua kombe la CAF mazimawee mbona hayo makundi ya CAF hugusi, au wee makundi kwako n tsup na telegram tyuuuh.
Byuti byuti.
Ajabu ni apo,utopolo wanajizima data,acha tuwawashe,sir tumepiga mpunga wa ukweli apoUnasindikiza huku unapewa pesa,
Unataka lipi, Goli la Mkude, au la Geita dhidi ya Simba ambalo nalo lilikataliwa bila Sababu, Au Penalty ya Simba dhidi ya Yanga ambayo kagele alichezewa faul nje ya 18 na Yondani Refa aka amulu mkwaju wa Penalty. Au tukio la Kibu Denis ku udaka mpira akiwa katika lango lake akigomea sipigwe kanzu dhidi ya Azam?Hebu weka hapa tuone redio
Yanga ikishinda bahasha ya mapene imetoka, inamaa Makolokolo FC hamchoki tu kuchukua bahasha za Yanga FC tangu 2019 hadi mshindwe kumfunga PL BongoAjabu ni apo,utopolo wanajizima data,acha tuwawashe,sir tumepiga mpunga wa ukweli apo
Achana nayo hayo Makolokolo FC, kwanza laiti yangejua jinsi mwaka jana Mayele alivyonyimwa magoli halali ya kutosha hadi alikosa kiatu cha dhahabu wala yasingenung'unika.Unataka lipo, Goli la Mkude, au la Geita dhidi ya Simba ambalo nalo lilikataliwa bila Sababu, Au Penalty ya Simba dhidi ya Yanga ambayo kagele alichezewa faul nje ya 18 na Yondani Refa aka amulu mkwaju wa Penalty. Au tukio la Kibu Denis ku udaka mpira akiwa katika lango lake akigomea sipigwe kanzu dhidi ya Azam?
Kajitia upofu. Hawezi kukujibu hata kidogo. Na hakuna kolo wa kusogeza pua hapa. Akisahau hiyo, mpe ile dhid ya Prisons mbeya kwanza last season.Unataka lipi, Goli la Mkude, au la Geita dhidi ya Simba ambalo nalo lilikataliwa bila Sababu, Au Penalty ya Simba dhidi ya Yanga ambayo kagele alichezewa faul nje ya 18 na Yondani Refa aka amulu mkwaju wa Penalty. Au tukio la Kibu Denis ku udaka mpira akiwa katika lango lake akigomea sipigwe kanzu dhidi ya Azam?
Kajitia upofu. Hawezi kukujibu hata kidogo. Na hakuna kolo wa kusogeza pua hapa. Akisahau hiyo, mpe ile dhid ya Prisons mbeya kwanza last season.
Mayele alivyonyimwa magoli: vs geita, vs mbeya city, vs mtibwa n.k walishangilia sana.
SIMBA inajiweza kujibeba haihitaji mbeleko ndio maana iko kimataifa zaidi