Aisee wivu hauna maana kabisa....! Sawa tu ukinicheka, lakini mi naamini kila mtu ana wivu.,..ila nilichojifunza wivu ni upuuzi mtupu, tuache!!!
Ilikuwa hivi,,kuna namba mpya wife huwa anaitumia, yani anapiga then anafuta, hajaisevu kwa jina,,! Hatuna mipaka kwenye simu,..sasa badala nimuulize, mi nikachukua hiyo namba, nikawa najaribu kuangalia jina kwa m-mpesa...yani unafanya kama unatuma hela halafu jina linatokea ili nimjue!!!
Nikajaribu kutuma 50,000. Mara jina likatokea, kumbe ni shemeji yangu wa kike mdogo wake na wife...,mbaya zaidi nilishasahau kumbe kwenye akaunt ya m-pesa kulikuwa na salio,, ile hela ikaenda kweli..sasa huyu binti badala hata anipigie kampigia dadaake, "shemej kantumia hela 50000"
nifanyeje manake naona aibu hata kumwambie arudishe istoshe ni mwanafunzi wa chuo..,halafu wife sijui ananielewaje, manake kuanzia jana namwambia sina hela!! Ameshanuna sasa.
piga simu voda wa-reverse iyo pesa.

kama imeenda kwa mwanafunzi wa chuo basi imekula kwako mkuu. Cha kufanya mpe wife hela.
Na huyo mkeo anakaba too much. Namba ya mdogo wake na wewe huna? Na kwa nini awe anaifuta. Na amejua umeipataje no ya mdogo wake na hajakupa? Bora umwambie ukweli tu kwa sababu madhara ya jambo hili ni makubwa na yako mbeleni. Huo ufa kwenye ndoa utazidi kukua kila siku bora uuzibe sasa hivi.
Na nnavyoona pia kuna tatizo katika zoezi zima la ufichaji wa hiyo namba.
hadi raha saa nyingine maana mnahis mnaibiwa muda wote
nawe unaamini kuwa umemaliza uchunguzi wako iko kuna swali la kujiuliza hapi iweje namba mkeo asiisave na akipigiwa aifute fasta kuna mawili
1) kuna lijamaa likula mzigo kilaini lakini limesajili line kwa jina la shemeji yako
2) mdogo wa mkeo anashirikiana kumchepusha dadaake.
Wajinga ndo waliwao