uskute wakija hapa watabishia! halaf kuna wengine mapepo mabaya sana, kuna mmoja nilimshuhudia yalimpanda akaanza makelele, "vua kondom!" nimesemaa vua kondomm! heheeh mzembe nikafkiria angaza namimi nikapandisha yangu ya kinafiki nikamwambia "havui mtu, wala hafi mtu", akastuka halaf akaendelea "naomba hela ya vocha" naomba hela ya vocha, na pepo langu la kinafik likajibu "nimelipia gesti" nimelipia gesti. Nilisevu baada ya kivumbi kikali