Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657
Mimi Leo nipo zangu hapa Landmark hotel hapa Tukuyu nikiwa nmeagiza kuku mzima tayari kwa kujiservia. Mama yenu mdogo kaenda kula likizo kwao
Hapa nasubiri usiku ufike niingie kivanga top garden Kwaajili ya kupata pisi Kali
Leo umedamshii ukiwaamtaa gani(clabu)?
Hapa nasubiri usiku ufike niingie kivanga top garden Kwaajili ya kupata pisi Kali

Leo umedamshii ukiwaamtaa gani(clabu)?