kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,162
- 15,830
Hii rahisi, nitajaribu.,,,, kwenye huo mchanganyiko wa viaz unaweza kuweka nyama ya kusaga ?
Ndio ila ukiweka nyama yai usiwekeHii rahisi, nitajaribu.,,,, kwenye huo mchanganyiko wa viaz unaweza kuweka nyama ya kusaga ?
Big up kiongozi
Nikivunja kibubu nitajaribu na mimi
We mkuu,ukianzisha darasa lolote nishtue maana Una balaaa so delicious 😋Hellow
Kwanza chemsha viazu visiive sanaa kisha viponde ponde na uweke karot,hoho,kitunguu ukiweza unaweza weka pili pili kama hivi
View attachment 3299266
Kisha chemsha mayai yako na yakiiva ya mwenye na uyakate kama hivi
View attachment 3299268
Kisha yaviringe kiasi cha yai kutoonekana kabisa kisha weka mafuta jikoni na mafuta yakipata moto uweke na itakuws hivi
View attachment 3299269
Mimi nitakula na samaki wa kukaanga na youghaty karibuni
KaribuWe mkuu,ukianzisha darasa lolote nishtue maana Una balaaa so delicious 😋
ndio hapo utakuwa unatengeneza.eggchopMwachiluwi kwani nikiweka Yai zima bila kulikata itakuwa mbaya?
Eggchop tena🙄wacha niachane na hizi mambo za kupikapika naona misamiati mipya mingindio hapo utakuwa unatengeneza.eggchop
Poler pole utaelwaEggchop tena🙄wacha niachane na hizi mambo za kupikapika naona misamiati mipya mingi