Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 57,011
- 94,630
Nataka tujikite na tuzame kwa undani, kuna kitu wazungu wanakijuwa lakini nadhani wamekula kiapo kabisa asijue mtu yeyote nje ya jamii yao.Wazungu wanaakili hawabahatishi
Huyo huyo mamii.Vunja jungu huyuhuyu nilivyokuwa mdogo tulikuwa tunatishana ukimuua vunja jungu na vyombo vya udongo vya kwetu vyote vinavunjika..
Nitarudi kusoma comments zaidi
Waba akili sana wale watu,kuna vitu vingi wanavijua na sisi hatuvijui na hatutakuja kuvijuaNataka tujikite na tuzame kwa undani, kuna kitu wazungu wanakijuwa lakini nadhani wamekula kiapo kabisa asijue mtu yeyote nje ya jamii yao.
Sasa si vibaya tukifanya vireseach vyetu wenyewe.
Ona kama Bongo zozo anazunguka dunia ukimuuliza source of income yake atakwambia ni forex trading, uwongo mtupu.
Kuna kitu kimoja tu nilifanikiwa kujifunza kwao codes nyingi wanazitowa kwenye movie na kwenye chemsha Bongo za magazine.Waba akili sana wale watu,kuna vitu vingi wanavijua na sisi hatuvijui na hatutakuja kuvijua
Suala la kujua vitu vingi ni sawa,hata sisi tunavijua vitu vingi pia ambavyo wao hawavijui. Mimi nimemuelewa sana mleta mada,nipo hapa kujifunza nisiyoyajua.Waba akili sana wale watu,kuna vitu vingi wanavijua na sisi hatuvijui na hatutakuja kuvijua
Na imani ya dini inatufanya tusizid kutaka kujua chochote kilicho nje ya mfumo wa kawaida.Waba akili sana wale watu,kuna vitu vingi wanavijua na sisi hatuvijui na hatutakuja kuvijua
Kuna kitu kimoja tu nilifanikiwa kujifunza kwao codes nyingi wanazitowa kwenye movie na kwenye chemsha Bongo za magazine.
Ukiona movie ya ajabu ajabu wala huielewi lolote basi ujuwe kuna wanaoielewa vizuri san
Kuna move inaitwa la brea ina mengi ya kujifunza .Kuna kitu kimoja tu nilifanikiwa kujifunza kwao codes nyingi wanazitowa kwenye movie na kwenye chemsha Bongo za magazine.
Ukiona movie ya ajabu ajabu wala huielewi lolote basi ujuwe kuna wanaoielewa vizuri sana.
Kuna mmoja alikuwa akisafirisha ngozi ya nyoka, sijui kwa kazi ganiKuna kitu kimoja tu nilifanikiwa kujifunza kwao codes nyingi wanazitowa kwenye movie na kwenye chemsha Bongo za magazine.
Ukiona movie ya ajabu ajabu wala huielewi lolote basi ujuwe kuna wanaoielewa vizuri sana.
At least huyu utasema hii ni trophy kwa ajili ya mikanda ya suruwali au viatu.Kuna mmoja alikuwa akisafirisha ngozi ya nyoka, sijui kwa kazi gani
Angalia movie ya Bruce inter the Dragon, wakati wapo kwenye mashua kutoka Hong Kong kwenda kwenye kisiwa cha Dragon kwenye ile mashuwa walikuwemo Bruce Lee, Jim Kelly, Jim Brown na wengine siwakumbuki, kuna Mantis walitumika pale walipiganishwa.Kwamba wanatumia movie kufikishiana codes wao KWA wao? Na wewe ulivyoangalia hizo movie ulielewa codes zozote?
Kwa vile wewe ulishaiangalia,tu(ni)saidie kuelezea kulikuwa na code gani mpaka ikaonekana ni ajabuAngalia movie ya Bruce inter the Dragon, wakati wapo kwenye mashua kutoka Hong Kong kwenda kwenye kisiwa cha Dragon kwenye ile mashuwa walikuwemo Bruce Lee, Jim Kelly, Jim Brown na wengine siwakumbuki, kuna Mantis walitumika pale walipiganishwa.
Hii movie Bruce inter the Dragon kama sikosei ilichezwa mwaka 1976, Vunja jungu alikuwemo kama hiden code.