Mtoto deko
New Member
- Jun 22, 2021
- 2
- 1
Wapendwa naombeni mwenye kujua nywele zangu niliweka dawa na ni fupi ila sio sana natamani ziwe kama hivi

Je, zitakuwa nzuri kweli?


Je, zitakuwa nzuri kweli?


Mirija gani?Kaweke mirija
Picha namba 1. 😀😀Mirija gani??
Mirija yataka nywele ndefuWeka mirija zitakaa vizuri
Hata fupi zinakaa vizuri, fupi size zinazoshikikaMirija yataka nywele ndefu
Ama fupi pia inakubali?.
Mirija yataka nywele ndefu
Ama fupi pia inakubali?.