ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Viongozi mbalimbali wa kitaifa wapo Nyasa katika kutangaza utalii wa ziwa Nyasa . Vivutio mbalimbali vilivyopo katika ziwa hilo vitatangazwa .
Pamoja na kuvitangaza vivutio mbalimbali lakini pia tunaitangazia Dunia kwamba Ziwa Nyasa lipo Tanzania , upande wa kusini.
Vivutio ambavyo vitatangazwa ni pamoja fukwe mbalimbali, visiwa mbalimbali, jiwe kubwa lililopo katikati ya maji lenye pango kubwa chini ya maji lenye uwezo wa kuhifadhi watu zaidi ya 1000 na vivutio vingine vya utamaduni
Tamasha hilo la kutangaza utalii huo ulianza kwa kutembelea vivutio vilivyopo kuanzia kusini mwa ziwa hilo mpakani na msumbiji hadi kaskazini mwa ziwa hilo unaopakana na Ludewa.
Tunamshukuru Mh. Mbunge kwa kubuni kitu ambacho kitafungua milango ya utalii wilayani humo.