Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,103
- 26,155
Wakuu leo nataka tumalize ubishi kuhusu hawa vijana machachali wanaosumbua kwenye anga ya muziki kwa kutoa hit songs kila kukicha .
Nataka tumalize ubishi unaondelea kati yao maana kila mmoja kwa wakati wake anatamba kwamba yeye ndio mkali kuliko wenzake waliobakia .
Tumalize ubishi wote kuanzia;
1) Uvaaji wao: Je, unahisi yupi anatupia viwalo vya kijanja zaidi kuliko wengine?
2) Swaga: Yupi mwenye swaga zaidi?
3)Nani kila kukicha anatoa ngoma kali zaidi wengine? Je, ni Young Dar es Salaam A.K.A mzee wa tumezaliwa bongo bahati mbaya au Young Killer A.K.A mzee wa sinaga swaga au Dogo Janja A.K.A mzee wa kidebe?
4) Nani anaongoza kwa kulitawala jukwaa wakiwa kwenye show?
5) Nani anaongoza kwa kipato ikiwemo kulipwa pesa ndefu kwenye show, kumiliki usafiri wa maana n.k.?
6) Nani ana muonekano wa kisuper star zaidi?
Young Killer Msodoki
Young Dar es salaam (Paka rapper/paka rasta)
Dogo janja (Janjaroo)
Karibuni mtiririke..